Kuna madhara makubwa Mwenyekiti wa CCM kuwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,714
2,000
Mama Sophia Simba atabaki na heshima kubwa isiyoonekana kichama kwa kufukuzwa kwake kisha akanyamaza,ni wakati wakuhitaji mawazo yake.

CCM ili iwe inajikosoa na kuikosoa Serikali bila uoga wowote ni wakati wakubadili mfumo wa Mwenyekiti kuwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu, zipo hasara nyingi kwa chama kubadilika kupambana kihoja kuliko faida kwa chama.

Hili lisipochukuliwa kwa utafiti mkubwa hakika lipo anguko kubwa kwa chama.

Chama kitakuja kufutika kwenye mifumo ya vyama vya siasa bila kutazamia.
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
5,610
2,000
Chama cha majabazi, kinajichimbia kaburi lake chenyewe,ni muda mchache tu tutasikia maziko yake,maneno machungu ila hawanabudi kuyatafakari na kuishinayo kwa muda.
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
17,258
2,000
Mama Sophia Simba atabaki na heshima kubwa isiyoonekana kichama kwa kufukuzwa kwake kisha akanyamaza,ni wakati wakuhitaji mawazo yake.

CCM ili iwe inajikosoa na kuikosoa Serikali
bila uoga wowote ni wakati wakubadili mfumo wa Mwenyekiti kuwa ndiye Amiri jeshi mkuu,zipo hasara nyingi kwa chama kubadilika kupambana kihoja kuliko faida kwa chama.

Hili lisipochukuliwa kwa utafiti mkubwa hakika lipo anguko kubwa kwa chama.Chama kitakuja kufutika kwenye mifumo ya vyama vya siasa bila kutazamia.
Hizi ni ndoto za abunuasi. Yani mwizi ajikosoe mwenyewe?

Dawa ya hao ccm ni kuwaondoshea mbali. Ni cancer hao hawafai kabisa hapa duniani.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
23,870
2,000
..kuna wakati Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa chama, na Mzee Ali Hassan Mwinyi alikuwa Raisi na Amiri Jeshi Mkuu.
 
Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
12,027
2,000
Sio Sofia Simba tu, yule mzee Makamu Mwenyekiti Mangulla aliipata ya Jiwe kutoka kwa Kikwete alivyokuwa anafanya mbinu za kumuondoa Kikwete kutoka uenyekiti wa CHama.
 
G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
769
1,000
Hili lisipochukuliwa kwa utafiti mkubwa hakika lipo anguko kubwa kwa chama.Chama kitakuja kufutika kwenye mifumo ya vyama vya siasa bila kutazamia.
Haitokea kamwe! CCM na dola ni kitu kimoja. Ndiyo maana tunasema CCM ni chama dola.

Kuliondoa ccm lqzima tuchapane na damu imwagike kwanza. Ndipo katiba itatengenezwa na ccm itaondoka.
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
9,500
2,000
Mama Sophia Simba atabaki na heshima kubwa isiyoonekana kichama kwa kufukuzwa kwake kisha akanyamaza,ni wakati wakuhitaji mawazo yake.

CCM ili iwe inajikosoa na kuikosoa Serikali bila uoga wowote ni wakati wakubadili mfumo wa Mwenyekiti kuwa ndiye Amiri jeshi mkuu,zipo hasara nyingi kwa chama kubadilika kupambana kihoja kuliko faida kwa chama.

Hili lisipochukuliwa kwa utafiti mkubwa hakika lipo anguko kubwa kwa chama.Chama kitakuja kufutika kwenye mifumo ya vyama vya siasa bila kutazamia.
Walioweka hayo walifikiri mbali Sana....

Tabia ya binadamu iko vilevile.....

Ukitenganisha KOFIA hizo ,iko siku yatatokea Kama yaliyotokea kule BURUNDI baina ya marehemu Nkurunzinza na Mwenyekiti wake.....

Inaweza kutokea mwenyekiti kwa KUTUMIWA NDANI AMA NJE....kwa uroho wake wa madaraka na kulinda maslahi yake/kikundi AKAMVUA uanachama RAIS WA NCHI mwenye majeshi.....asipokubali kujiuzulu basi huweza kutokea SINTOFAHAMU kubwa itakayogharimu Maisha ya RAIA WASIO NA HATIA.......

SIUNGI MKONO HOJA

#KaziIendelee
 
Hapo ndipo unawapa nguvu katiba ya chama badala ya katiba ya Nchi.
Akisha kuapa katiba ya nchi,katiba za vyama zipo chini yake kwakuwa sio katiba mama.
 
Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
9,029
2,000
Walioweka hayo walifikiri mbali Sana....

Tabia ya binadamu iko vilevile.....

Ukitenganisha KOFIA hizo ,iko siku yatatokea Kama yaliyotokea kule BURUNDI baina ya marehemu Nkurunzinza na Mwenyekiti wake.....

Inaweza kutokea mwenyekiti kwa KUTUMIWA NDANI AMA NJE....kwa uroho wake wa madaraka na kulinda maslahi yake/kikundi AKAMVUA uanachama RAIS WA NCHI mwenye majeshi.....asipokubali kujiuzulu basi huweza kutokea SINTOFAHAMU kubwa itakayogharimu Maisha ya RAIA WASIO NA HATIA.......

SIUNGI MKONO HOJA

#KaziIendelee
Hii ipo kwenye katiba yenu tu ccm vyama vingine hakuna mtaondoka tu na ndio kitendawili hiki kitakuwa kimeteguka
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom