Kuna madhara kutumia mobile mvua ikinyesha na radi?

Yani iache kwenda kupiga minara ambapo antenna zina power balaa ije chumbani kwako kwenye simu?

Hapana.

Radi inatafuta path of least resistance.
 
NDIO...miaka mitano iliyopita nilibahatika tembelea Mwanza, Mkoa wa kipekee, radi zilipiga na mvuaa,pale nilipokuwepo wote hata yule udhaniaye haelewi WALIZIMA simi,nami nkazimaaa

Nkasafiri kwenda Dodoma, ...nkaambiwa msimu ama kipindi cha radi zimaa simuuu...WAPO wanafunzi UDOm walipata ......

nihisivyo mifumo ya mawasiliano ni sawa na uunganishi wa uzi wa kushonea kifungo kwa shatiiii....

NASHANGAaaa KONDOOOO anapambanaga na radi na anaibuka kidedea
 
kwa kondoo naweza kukujibu kisayansi.
Chukua rula ya plastics sugua kwenye nywele zako kata vipande vidogo vya karatasi utagundua vinanasa hiyo inaitwa static electricity.
Kondoo anapotembea akijisugua manyoya yake yanapata positive charge.Radi ikimpiga ina m repel maana charge za radi ni positive kama manyoya yake.
Ndio maana wakati wa mawingu kondoo anaangalia chini anapatwa na msukosuko mkubwa mno.
NDIO...miaka mitano iliyopita nilibahatika tembelea Mwanza, Mkoa wa kipekee, radi zilipiga na mvuaa,pale nilipokuwepo wote hata yule udhaniaye haelewi WALIZIMA simi,nami nkazimaaa

Nkasafiri kwenda Dodoma, ...nkaambiwa msimu ama kipindi cha radi zimaa simuuu...WAPO wanafunzi UDOm walipata ......

nihisivyo mifumo ya mawasiliano ni sawa na uunganishi wa uzi wa kushonea kifungo kwa shatiiii....

NASHANGAaaa KONDOOOO anapambanaga na radi na anaibuka kidedea
 
Ni kwel sikiwahi kuamini. Nimekuja kuaminj nilipokuwaga Makete,,tv la sumsung ilipasuka ilikua on,wakat radi inapiga. Nikaambiwa ishatokea mtu akapoteza maisha alikua anaongea na simu. Wanasema hadi uongee ndo inaleta madhara,,ubishi ukaniishaaa
 
Swali kama nilivyouliza naomba wataalamu wa mawasiliano wanijuze kwa faida ya wengi.
Kipindi hiki cha mvua nilipo kuna radi mno
Hakuna madhara endapo simu yako haijaunganishwa moja kwa moja kwenye chanzo cha umeme wa nyumba yako. Kwa simu ya "wireless" radi haina pa kupitia, kwani simu hutumia betri yake ambayo haijaunganishwa na chanzo kingine cha nje chenye uwezekano wa kuingiliwa na radi. Madhara yapo pale endapo kuna radi na simu yako imeungishwa na chanzo toka kwenye nyumba yako na endapo chanzo hicho hakijawa "earthed".
 
kuna jirani yangu alipigwa na radi akiongea.Kuna wengine wawili kwa nyakati tofauti walipigwa na radi wakafa
Nadhani shida inakuja wakati mtu anakupigia.
 
Swali kama nilivyouliza naomba wataalamu wa mawasiliano wanijuze kwa faida ya wengi.
Kipindi hiki cha mvua nilipo kuna radi mno
Mwaka 2012,UDOM ilikuwa siku ya graduation. Kuna mshikaji alikuwa na wenzake akawaacha hatua kidogo akawa anaongea na simu.
Ilishuka radi ikammaliza palepale na wenzake wakajeruhiwa.
Endapo mvua imeambatana na radi,simu sio nzuri.
 
Hahaha haya yanatokea huku kwetu tu, ah hata huko zinakotokea simu hotokea?!
Huu nahisi ni uzushi.
 
Niliwahi kushuhudia tukio la radi 2016 mwanafunzi wa Primary alitoka shule na wakati mvua iliyoambatana na radi kali ikapiga, dogo alisimama kwenye mti mkubwa kilichomkuta kwa sasa ni marehemu maana ilipiga kutokea juu ya mti ikapasua kushuka chini hadi alipokuwa ameegema ikamdondosha pembeni na flana aliokuwa amevaa ikachanwa vibaya mgongoni alikokuwa ameegema na nyuzi za flana kubakia kwenye mti huo. So sad
 
Back
Top Bottom