Madhara yanaweza yasiwepo endapo utazingatia taratibu za kisheria kwa maana ya kuwa na AMA Affidavit au Deed poll kuhusiana uhalali wa hayo majina. Nyaraka nilizotaja hapo juu ndiyo zitaelezea uhalali wa majina yako Kama yanavyosomeka katika Vyeti
inakuaje majina yanakuwa tofauti wakati ukiwa unafanya application tcu au nacte wanakuchagua kwa jina lako ambalo linakuwa katika copy ya vyeti vyakoo? na ndo litakalotumika chuo inakuja vp hapo mkuu?
Sasa inategemea hapo umezoea kutumia majina mangapi..mawili.. ma3 au manne...Chà msingi uwe na nyaraka zote zinazothibitisha hayo majina kama ni mawili..matatu au hata manne... Jina la kwanza..jina la katikati..jina la ukoo na jina linginelo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.