Kuna Madaraka ukiwa nayo hata ukihamishia mzigo wote wa "Hazina" nyumbani kwako, hakuna wa kukuuliza

Ndio hivyo,

- Hata ufanye madudu mazito kiasi gani hakuna wa kukuuliza, unadunda tu.

- Hata usababishe hasara kubwa kiasi gani sana sana utatetewa tu.

- Katiba ni kipeperushi tu hulazimiki kukifuata, hata usipokifuata hakuna wa kukulazimisha
Ndiyo sababu katiba mpya ni muhimu
 
Leo kikwazo CAG tumekiondoa rasmi. Tutatafuna tuwezavyo
 
Magu oyeeee. Chotaaaaaa uwezavyooooo.

Tafuna na DOTTO JAMES, TULIA ACKSON na BASHITE
 
Back
Top Bottom