Yule siyo mtoto wa Dada yule ni mtoto wake wa nje yaani mtoto wa kufikia lakini kazuga kuwa ni mtoto wake, wanachukua pesa Hazina kienyeji mda wowote wanaotaka hata saa nane usiku wakijisikia.Kama ambavyo mtoto wa dada anatapanya hazina apendavyo!! Chattle ilakuwa na milima ya noti!!
mliambiwa mkae bungeni mjadili katiba mkapiga pesa mkakimbia sasa mnalilia lialia tu
Ndio hivyo,
- Hata ufanye madudu mazito kiasi gani hakuna wa kukuuliza, unadunda tu.
- Hata usababishe hasara kubwa kiasi gani sana sana utatetewa tu.
- Katiba ni kipeperushi tu hulazimiki kukifuata, hata usipokifuata hakuna wa kukulazimisha
Huu ni mtazamo wa JiweNdio hivyo,
- Hata ufanye madudu mazito kiasi gani hakuna wa kukuuliza, unadunda tu.
- Hata usababishe hasara kubwa kiasi gani sana sana utatetewa tu.
- Katiba ni kipeperushi tu hulazimiki kukifuata, hata usipokifuata hakuna wa kukulazimisha
Yule siyo mtoto wa Dada yule ni mtoto wake wa nje yaani mtoto wa kufikia lakini kazuga kuwa ni mtoto wake, wanachukua pesa Hazina kienyeji mda wowote wanaotaka hata saa nane usiku wakijisikia.
ule siyo mtoto wa Dada yule ni mtoto wake wa nje yaani mtoto wa kufikia lakini kazuga kuwa ni mtoto wake, wanachukua pesa Hazina kienyeji mda wowote wanaotaka hata saa nane usiku wakijisikia
Kuna MaRais wa nchi ambao ni wezi!! Kama Sani Abacha wa Nigeria aliweza kukomba hazina tuna uhakika gani kuwa huyu JIWE aliyemuweka mpwa wake kuwa paymaster general kuwa hawezi kukomba hazina yetu?
Tatizo siyo hata kukomba, sasa akikomba nani wa kumuuliza ?Kuna MaRais wa nchi ambao ni wezi!! Kama Sani Abacha wa Nigeria aliweza kukomba hazina tuna uhakika gani kuwa huyu JIWE aliyemuweka mpwa wake kuwa paymaster general kuwa hawezi kukomba hazina yetu?
Nikimuona mtu anawaibia pesa masikini huwa ninashangaa sana wakati utazikwa kama ukivyozaliwa
Kama kweli kuna maisha baada ya kifo ninadhani Mobutu anajuta sana. Raia walikosa basic needs wakati yeye alikuwa na mapesa Switzerland.Mabenki ya Ulaya na America yanafaidi sana fedha za hawa wezi wanaowaibia masikini Africa na kwenda kuzificha huko., Mara wanapofariki fedha hizo hupotea kwasababu kwa ufisadi wao hata wake na Ndugu zoo huqwa wanawaficha kuhusu mali hizo za wifi!!!