Kuna Madaraka ukiwa nayo hata ukihamishia mzigo wote wa "Hazina" nyumbani kwako, hakuna wa kukuuliza

MoseKing

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
4,925
8,910
Ndio hivyo,

- Hata ufanye madudu mazito kiasi gani hakuna wa kukuuliza, unadunda tu.

- Hata usababishe hasara kubwa kiasi gani sana sana utatetewa tu.

- Katiba ni kipeperushi tu hulazimiki kukifuata, hata usipokifuata hakuna wa kukulazimisha
 
Katiba ya Tanzania ni katiba mbovu mbovu inamlinda Rais hata akitoka madarakani hashitakiwi kwa wizi wake ndiyo maana Doto na baba yake wanajichotea pesa kiulaini kimya kimya pasipo kuulizwa na mtu
 
Mwanae wa nje ndiyo Katibu mkuu wizara ya fedha lazima baba na mwana wapige pesa kwa kwenda mbele
 
Ndio hivyo,

- Hata ufanye madudu mazito kiasi gani hakuna wa kukuuliza, unadunda tu.

- Hata usababishe hasara kubwa kiasi gani sana sana utatetewa tu.

- Katiba ni kipeperushi tu hulazimiki kukifuata, hata usipokifuata hakuna wa kukulazimisha
Huu ni mtazamo wa Jiwe
 
Rais wa South Korea aliyeondolewa mamlakani Park Geun-hye ameshtakiwa rasmi kuhusiana na kashfa ya rushwa iliyopelekea kung'atuliwa kwake uongozini.
 
Tanzania hakuna mfumo wa kum-deal au kumshitaki rais.
 
ule siyo mtoto wa Dada yule ni mtoto wake wa nje yaani mtoto wa kufikia lakini kazuga kuwa ni mtoto wake, wanachukua pesa Hazina kienyeji mda wowote wanaotaka hata saa nane usiku wakijisikia

Kuna MaRais wa nchi ambao ni wezi!! Kama Sani Abacha wa Nigeria aliweza kukomba hazina tuna uhakika gani kuwa huyu JIWE aliyemuweka mpwa wake kuwa paymaster general kuwa hawezi kukomba hazina yetu?
 
Gambia's Justice Minister, Abubacarr Tambadou, has revealed that the country's ex-president Yaya Jameh stole $50 million dollars before leaving office.

He says Jameh stole the money via the country's telecoms company.

Jameh fled for exile in Equatorial Guinea in January after 22 years in power.

The court has frozen all Jameh's assets that are still left in the Gambia.
 
Kuna MaRais wa nchi ambao ni wezi!! Kama Sani Abacha wa Nigeria aliweza kukomba hazina tuna uhakika gani kuwa huyu JIWE aliyemuweka mpwa wake kuwa paymaster general kuwa hawezi kukomba hazina yetu?
Tatizo siyo hata kukomba, sasa akikomba nani wa kumuuliza ?
 
Nikimuona mtu anawaibia pesa masikini huwa ninashangaa sana wakati utazikwa kama ukivyozaliwa

Mabenki ya Ulaya na America yanafaidi sana fedha za hawa wezi wanaowaibia masikini Africa na kwenda kuzificha huko., Mara wanapofariki fedha hizo hupotea kwasababu kwa ufisadi wao hata wake na ndugu zao huwa wanawaficha kuhusu mali hizo za wizi!!!
 
Mabenki ya Ulaya na America yanafaidi sana fedha za hawa wezi wanaowaibia masikini Africa na kwenda kuzificha huko., Mara wanapofariki fedha hizo hupotea kwasababu kwa ufisadi wao hata wake na Ndugu zoo huqwa wanawaficha kuhusu mali hizo za wifi!!!
Kama kweli kuna maisha baada ya kifo ninadhani Mobutu anajuta sana. Raia walikosa basic needs wakati yeye alikuwa na mapesa Switzerland.
 
Ndio hivyo,

- Hata ufanye madudu mazito kiasi gani hakuna wa kukuuliza, unadunda tu.

- Hata usababishe hasara kubwa kiasi gani sana sana utatetewa tu.

- Katiba ni kipeperushi tu hulazimiki kukifuata, hata usipokifuata hakuna wa kukulazimisha

Ila ukweli utabaki palepale binamu yake DOTTO JAMES atafungwa baada ya mjomba kuondoka madarakani.Akiwa mjanja akimbie nchi kabla.Matumizi mabaya ya madaraka na uhujumu uchumi viko nyuma yake.
 
Back
Top Bottom