Kuna Madaraka ukiwa nayo hata ukihamishia mzigo wote wa "Hazina" nyumbani kwako, hakuna wa kukuuliza


Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
31,684
Likes
92,514
Points
280
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
31,684 92,514 280
Mabenki ya Ulaya na America yanafaidi sana fedha za hawa wezi wanaowaibia masikini Africa na kwenda kuzificha huko., Mara wanapofariki fedha hizo hupotea kwasababu kwa ufisadi wao hata wake na Ndugu zoo huqwa wanawaficha kuhusu mali hizo za wifi!!!
Kama kweli kuna maisha baada ya kifo ninadhani Mobutu anajuta sana. Raia walikosa basic needs wakati yeye alikuwa na mapesa Switzerland.
 
A

adobe

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
1,876
Likes
483
Points
180
A

adobe

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
1,876 483 180
Ndio hivyo,

- Hata ufanye madudu mazito kiasi gani hakuna wa kukuuliza, unadunda tu.

- Hata usababishe hasara kubwa kiasi gani sana sana utatetewa tu.

- Katiba ni kipeperushi tu hulazimiki kukifuata, hata usipokifuata hakuna wa kukulazimisha
Ila ukweli utabaki palepale binamu yake DOTTO JAMES atafungwa baada ya mjomba kuondoka madarakani.Akiwa mjanja akimbie nchi kabla.Matumizi mabaya ya madaraka na uhujumu uchumi viko nyuma yake.
 
sodoliki

sodoliki

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,994
Likes
1,119
Points
280
sodoliki

sodoliki

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,994 1,119 280
Ndio hivyo,

- Hata ufanye madudu mazito kiasi gani hakuna wa kukuuliza, unadunda tu.

- Hata usababishe hasara kubwa kiasi gani sana sana utatetewa tu.

- Katiba ni kipeperushi tu hulazimiki kukifuata, hata usipokifuata hakuna wa kukulazimisha
Ndiyo sababu katiba mpya ni muhimu
 

Forum statistics

Threads 1,262,469
Members 485,588
Posts 30,123,156