Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Nimesikia toka WAPO Radio kwamba kuna maandamano wa Wahanga wa mlipuko wa mabomu huko Gongo la mboto kuelekea kwa Mkuu wa Mkoa. Kwa mujibu wa Radio hiyo waandamanaji wameishafika hapo kwa Mkuu wa Mkoa naye yupo njiani kuelekea huko kutupasha habari.
Mwenye chochote atusaidie.
Source: Pata pata WAPO Radio.
Mwenye chochote atusaidie.
Source: Pata pata WAPO Radio.