Kuna maandamano Kimara kuelekea Ubungo

Boniphace Bembele Ng'wita

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
3,446
1,812
Ninaelekea kazin nmekutana na maandamano kuna watu kama 50 hiv ila hakuna police wakipata taarifa wanaweza kwenda kuweka ulinzi ili watu waandamane kwa amani...

Msiniombe picha maana sikupiga
 
iko poa sana hyo, ila vijana wa interahamwe watakuwa njiani kwaajili ya kutoa ulinzi
 
Kama ni maandamano ukweli, hivi watu hawana kazi za kufanya asubuhi tu wanaaamkia maandamano? Au ndio wale mboga nane
 
Pamoja kuwa Kimara ndiyo sehemu yenye wafuasi wengi wa Chadema lakini hawana uwezo kuandamana.
 
Kama ni maandamano ukweli, hivi watu hawana kazi za kufanya asubuhi tu wanaaamkia maandamano? Au ndio wale mboga nane

Hao chadema wengi ni majambazi, kazi zao mara nyingi wanafanya usiku, mchana wanawafanyia vurugu wananchi wanaoingiza vipato halali.
 
Hao chadema wengi ni majambazi, kazi zao mara nyingi wanafanya usiku, mchana wanawafanyia vurugu wananchi wanaoingiza vipato halali.

Bila shaka wewe ndiye polisi uliyewapiga waandishi wa habari!!
 
Pamoja kuwa Kimara ndiyo sehemu yenye wafuasi wengi wa Chadema lakini hawana uwezo kuandamana.
Hakuna sehemu alipoandika CHADEMA au wafuasi wa CHADEMA.

Tumia kichwa cha kawaida kufikiri mkuu.
 
Back
Top Bottom