TIKO TRICKS
Senior Member
- Jan 2, 2014
- 185
- 90
Hakika Bwana Rodrigo Duterte ni mtu ambaye anatikisa hali ya mambo (challenging the status quo) pale Philipines.
Inasemekana ameruhusu mauaji ya watuhumiwa wafanyabiashara wa madawa ya kulevya pasipo hata kufikishwa mahakamani (extrajudicial killings) na inakadiriwa takriban watu 2,400 wamekwishauwawa tokea Bwana Duterte achukua uraisi mwezi June 2016 (mwaka huu). Anyway, hayo ni ya kwao wafilipino, nawaachia wao. Whether ni kweli au ni propaganda tu za vyombo vya habari vya magharibi.
What interests me the most ni kwamba huyu jamaa anavuka mipaka na kuwashushia lugha kali ya kuudhi hata viongozi wa dini akiwemo Pope Francis, Pia wakuu wa nchi na viongozi wengine akiwemo Obama, John Kerry na wengineo.
Katika uelewa wa kawaida, ukishakuwa mkuu wa nchi kuna lugha huwezi tena kutumia, hata kama wewe ni mtoto wa mjini au wa kitaa kiasi gani. Kiongozi wa nchi anawakilisha Taifa zima.
Kiongozi wa nchi ndiye mpeperusha bendera number 1 wa Taifa, bendera ambayo inafunika raia wote, wale waliomchagua na wasiomchagua. Anapaswa kuwaunganisha na kuachana na kauli za hasira ambazo most likely zitawaudhi wengine na kuwagawa kwa misngi ya kisiasa, kidini au kikabila.
A statesman popote pale should act like one, na kuacha lugha za mipasho na za kitaa ambazo hazina tija. Afterall Taifa linajengwa na wote, kodi unalipwa na wote, either walimpigia kura yeye na chama chake ama la.
Ni mtazamo tu katika kuperuzi hapa na pale.
Busara Kiwandai.