Kuna la kujifunza kwenye kesi ya Mbowe, Ruge na Seth

french

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
3,525
3,649
Yaani kesi za akina Seth, Ruge zimekuwa nyepesi kuliko kesi ya Mbowe au wanasiasa wa upinzani.

Hii inamaanisha Africa viongozi wanajali maslahi yao zaidi kuliko ya wananchi. Ruge na Seth wamefanya ufisadi wa kutisha nchi hii lakini sababu haya mambo ya ufisadi hayamuathiri moja kwa moja kiongozi aliyepo madarakani basi huwa viongozi hawa hawasumbuliwi sana na kesi hizi.

Mbowe anaishininiza serikali iandae Katiba Mpya. Huyu anaoneka mbele ya watawala kuwa ni adui mkubwa sana hata kuliko yule alieiba pesa nyingi sana serikalini. wanajua katiba mpya ikipatikana basi maslahi ya wachache waliopo madarakani watakosa nguvu/fursa. Africa tubadilike kwa staili hii hatuwezi fikia China au ulaya mpaka dunia inaisha hii
 
Mbowe na genge lake la CDM ndio wanao ongoza kutetea hao mafisadi, walikuwa makuhani na watetezi wakuu wa mafisadi kwa miaka yote ya JPM, wakitulize hatutaki unafiki wao hapa.
 
Mbowe na genge lake la CDM ndio wanao ongoza kutetea hao mafisadi, walikuwa makuhani na watetezi wakuu wa mafisadi kwa miaka yote ya JPM, wakitulize hatutaki unafiki wao hapa.
Kivipi ndugu kina Ruge na wenzie ushahidi ulikua kweupe haya hao magaidi hadi supu wamekunywa na police kunajambo tena hapo
 
Mbowe na genge lake la CDM ndio wanao ongoza kutetea hao mafisadi, walikuwa makuhani na watetezi wakuu wa mafisadi kwa miaka yote ya JPM, wakitulize hatutaki unafiki wao hapa.
Vipi Ubongo Waliutoa Wote
JamiiForums1980995331.jpg

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom