Kuna kusikilizwa kweli hapa?

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
cc17.jpg

au mawazo yako bilila?
 
Mkulu wa kaya anaweka pozi la picha kaburu anamtibulia kwa kumuongelesha
 
"Bilioni Nane. Bilion nane, Billion 8, Billion, Bill, 8 B," Lugha nyingine askilizi kaburu afanye transfer kwanza!
 
bila hiyo kitu mbona akikaa hawezi kuamka tena!

hivi ni wangapi tumemchoka huyu jamaa? ni wangapi kati yeti tukiamka kesho tukisikia huyu jamaa hayupo hatutasikitika? tuweni wakweli wa nafsi zetu na swali la mwisho je ni wangapi tunapenda tusikie kapatwa na mabaya kama kuanhuka jukwaani au akikaa hawezi tena kusimama?
 
kama vipi fanya mpango anase...
 
piper umenichekesha mpaka mbavu zimenuuma mie lol
 
Last edited by a moderator:
kuna siku mtu alisema huyo bwana hucho kiti huenda nacho popote hivi ni kweli?
 
Back
Top Bottom