Kuna kosa lolote kwa Raia wa Tanzania ambaye sio kiongozi kuvaa suti au kaunda suti na kuweka ile alama ya bendera?

ndegemzungu

Member
Mar 10, 2019
92
240
Screenshot_20200720-202715.jpg
 
Ni mapambo tu. Hakuna sheria wala mantiki. Kuna yule sijui anaitwa Lugola ndio akaamua kushona kabisa na shati lenye mifuko ya bendera!

Kuna nati fulani nahisi haziko sawa kichwani mwake.
ajabu wale jamaa kule wanakwenda kumpa ten ulaji.

kweli tunatofautiana kufikiri.mimi nikiona mtu ana tumbo kubwa kubwa nakosa imani na uwezo wa akili yake.
 
Ni mapambo tu. Hakuna sheria wala mantiki. Kuna yule sijui anaitwa Lugola ndio akaamua kushona kabisa na shati lenye mifuko ya bendera!

Kuna nati fulani nahisi haziko sawa kichwani mwake.
Mm ili niamin uzalendo wa lugola nataka aendelee kuvaa lile shati
 
Kuna kosa gani mkuu kuipenda nchi yako kupita kiasi!
Ni mapambo tu. Hakuna sheria wala mantiki. Kuna yule sijui anaitwa Lugola ndio akaamua kushona kabisa na shati lenye mifuko ya bendera!

Kuna nati fulani nahisi haziko sawa kichwani mwake.
 
Polisi wetu hawana akili hizo sijui uzalendo, utukufu mwee!! lazima wakutie rimsukosuko! tu utasikia ''arooh!! hivi mari ya chamuhuri ya muungano umebhata wape!!
 
Back
Top Bottom