Kuna kosa lolote kama naamua kufanya mapenzi katika gari yangu

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,571
Sijui ni ushamba wa polisi ama sijui ni umbumbumbu wa wa tz. juzi usiku majira ya saa mbili hivi usiku nilitoka na mpenzi wangu kwenda kupunga upepe hapo coco beach, tukapiga wine glas mbili mbili tukajisikia hamu tukaona tumalizane tu hapo hapo maana kitanda cha kila siku kimetuchosha. tukaingia kwa gari yetu tukaendelea na starehe zetu, mara nasikia ngo ngo, ati polisi anagonga kiyoo cha gari.

Nikashusha kiyoo, nikamwuliza nikusaidie nini? ati ananiambia niko chini ya ulinzi, nikamwuliza kuna kosa gani? ananiambia ati ni kosa la kufanya mapenzi kwenye gari. nikamuuliza, hii gari na huyu mrembo ni mali ya nani?akasema hajui. nikapandisha kiyoo tukaendelea kubanjuana mpaka wote tukaridhika. then nikapiga gari gea tukaishia zetu.

Ombi langu kwa huyo kamanda wao, ajaribu kuwa anawapa semina hawa vijana wake. tena awaonye kuacha hiyo tabia yao mbaya ya kuwabugudhi watu wakiwa ktk starehe zao.wanaudhi sana
 
Hii si imeshawahi kuletwa hapa? Nani tena kaichoropoa huko ilikopotelea?
 
Kuwakomesha siku nyingine kapaki pale kariakoo unakula mzigo wako ukiwa uneshusha vioo
 
Hivi mpaka sasa hizi bado tu unalala kwenye kale ka-ghetto ulikokaribishwa na masela zako?
tukajisikia hamu tukaona tumalizane tu hapo hapo maana kitanda cha kila siku kimetuchosha.
Fanya mpango bhana na wewe upangishe ghetto lako.

Back to topic.
Hivi unafikiri hata mtu anayeendesha gari au pikipiki huku akiwa amevunja sheria anakuwa hayupo kwenye starehe zake?
Ombi langu kwa huyo kamanda wao, ajaribu kuwa anawapa semina hawa vijana wake. tena awaonye kuacha hiyo tabia yao mbaya ya kuwabugudhi watu wakiwa ktk starehe zao.wanaudhi sana
 
We punguani hauna staha na huyo mwanamke hajiheshimu toa upuuzi wa unzinzi wako hapa na ushamba wako
 
Kwanza nakupongeza kwa kuleta topic hii. Hakuna kosa lolote kustarehe na mpenzi wako ndani ya gari yako. Lakini kama hujuavyo polisi wa Tz huwa hawafanyi kazi waliyotumwa ya ulinzi wa raia na mali zao bali huzunguka kutafuta mahali penye mwanya wa kosa ili wakamate, watoe vitisho wapate pesa.

Kwa taarifa yako pale Cocobeach kuna vijana ambao ukipaki gari na mpenzi wako wakishakushtukia tu huwapigia polisi ambao nao huja hima kama vile wameambiwa kuna jambazi na kuja kukugongea kwenye gari na kudai pesa baada ya kukutishia kukupeleka kituoni.

Mimi nilishawahi kupaki gari pale usiku wa saa tatu, nimefunga vioo nikatulia kimya, vijana wauza mihogo na makorokoro mengine wakawa wanajifanya kuja kuniuzia nikawa nawarudisha kwa kuwaeleza kuwa niko na mpenzi wangu sitaki usumbufu. Dakika kumi nyingi niliona landcruser imejaa polisi inakuja moja kwa moja hadi kwenye gari yangu wakashuka askari kama watatu wakanigongea na kuniamuru nifungue mlango. Niliwafungulia wakakuta niko peke yangu eti wakaniuliza mwenzangu yuko wapi?

Nikawauliza mwenzangu gani mbona niko peke yangu? Eti ooh, kupaki peke yangu pale ni hatari naweza kuvamiwa, kalagabaho !!
 
He! Jamani, hivi mshamba ni yupi kati yenu? huyu aliyewashangaa polisi walioacha kufanya kazi na kwenda kumpiga chabo, au wewe unayemshangaa mleta mada kwa kufanya mapenzi na mpenzi wake kwenye gari? Nauliza tu?
 
Kwanza nakupongeza kwa kuleta topic hii. Hakuna kosa lolote kustarehe na mpenzi wako ndani ya gari yako. Lakini kama hujuavyo polisi wa Tz huwa hawafanyi kazi waliyotumwa ya ulinzi wa raia na mali zao bali huzunguka kutafuta mahali penye mwanya wa kosa ili wakamate, watoe vitisho wapate pesa.

Kwa taarifa yako pale Cocobeach kuna vijana ambao ukipaki gari na mpenzi wako wakishakushtukia tu huwapigia polisi ambao nao huja hima kama vile wameambiwa kuna jambazi na kuja kukugongea kwenye gari na kudai pesa baada ya kukutishia kukupeleka kituoni.

Mimi nilishawahi kupaki gari pale usiku wa saa tatu, nimefunga vioo nikatulia kimya, vijana wauza mihogo na makorokoro mengine wakawa wanajifanya kuja kuniuzia nikawa nawarudisha kwa kuwaeleza kuwa niko na mpenzi wangu sitaki usumbufu. Dakika kumi nyingi niliona landcruser imejaa polisi inakuja moja kwa moja hadi kwenye gari yangu wakashuka askari kama watatu wakanigongea na kuniamuru nifungue mlango. Niliwafungulia wakakuta niko peke yangu eti wakaniuliza mwenzangu yuko wapi?

Nikawauliza mwenzangu gani mbona niko peke yangu? Eti ooh, kupaki peke yangu pale ni hatari naweza kuvamiwa, kalagabaho !!

Hahahaa hii safi sana
 
Sasa ndo ujinga gani huo wakafanye pale kwenye miti maana wenzentu nyege zimewajaa yani mada zingine bana uzushi tu eti kungonoka ndani gari uchatu mtupu halafu mkanawa au mkaoga wapi au mlirudi kuendelelea kunywa na mauchafu yenu loh,
 
Hata huyo mwanamke anayekubali k.u.t.o.m.b.e.w.a ndani ya gari nae hana akili timamu kama wewe mleta mada.
 
Sasa ndo ujinga gani huo wakafanye pale kwenye miti maana wenzentu nyege zimewajaa yani mada zingine bana uzushi tu eti kungonoka ndani gari uchatu mtupu halafu mkanawa au mkaoga wapi au mlirudi kuendelelea kunywa na mauchafu yenu loh,

Hayo mauchafu yanatokapi ladysha?
 
Last edited by a moderator:
mi kuna siku nlienda pale na mwenzangu,hatuna gari,tukapiga kinywaji kisha tukaenda kwenye kichaka flani hivi kubanjuka,polisi hawakuja nathani walikosa pa kugonga
 
Sijui ni ushamba wa polisi ama sijui ni umbumbumbu wa wa tz. juzi usiku majira ya saa mbili hivi usiku nilitoka na mpenzi wangu kwenda kupunga upepe hapo coco beach, tukapiga wine glas mbili mbili tukajisikia hamu tukaona tumalizane tu hapo hapo maana kitanda cha kila siku kimetuchosha. tukaingia kwa gari yetu tukaendelea na starehe zetu, mara nasikia ngo ngo, ati polisi anagonga kiyoo cha gari.

Nikashusha kiyoo, nikamwuliza nikusaidie nini? ati ananiambia niko chini ya ulinzi, nikamwuliza kuna kosa gani? ananiambia ati ni kosa la kufanya mapenzi kwenye gari. nikamuuliza, hii gari na huyu mrembo ni mali ya nani?akasema hajui. nikapandisha kiyoo tukaendelea kubanjuana mpaka wote tukaridhika. then nikapiga gari gea tukaishia zetu.

Ombi langu kwa huyo kamanda wao, ajaribu kuwa anawapa semina hawa vijana wake. tena awaonye kuacha hiyo tabia yao mbaya ya kuwabugudhi watu wakiwa ktk starehe zao.wanaudhi sana

...inabidi katiba mpya iwekewazi kuhusu hili suala ili kuondo usumbufu...
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom