Kuna kosa gani kusema no

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
wakuu naomba mawazo yenu asa kina dada kuna kosa gani kumweleza rafiki yako wa kike kwamba hali yetu ilivyo atuwezi kuendelea tafuta m2 mwingine na yote yanatokea baada ya yy mwenyewe kufanya vtuko na fujo nyingi kwako mafano.

1 kufanya fujo ofcn kwako kisa kamwona mwanamke alokuja kufata huduma ww unahisi vbaya unaanza mcharuko unafanya yote haya mm cpo ofcn.
2. unakuja uck wa manane bila taarifa kama kufanya fumanizi fulani hii kafanya ,mara nyingi zaidi kila ukimkanya cpendi anaomba radhi baada ya mda anarudia.
3. kukusuta mbele ya washikaji kama kujionyesha na yy anauwezo
jamani ni mengi nilipochoka baada ya kuona visa vinazidi na kuona cwezi ata kutangaza uchumba achilia mbali ndoa nikamwambia basi aliomba sana msamaha kwa ahadi kwamba atajirekebisha ni ibilisi tu alimpitia na tumekaa miezi 10 bila mabadiliko ss imekuwa kesi matusi, kejeli mpaka anamtukana my x gf wangu wakitambo sana mpaka na vitisho anampa akiisi labda nataka kurudisha majeshi kwa kweli aliniboa sana.
 
Back
Top Bottom