Kuna kiwango kikubwa cha Madawa ya kulevywa kimekamatwa leo (Tunduma Border)

msaragambo

Senior Member
Aug 6, 2008
127
17
Kuna kiasi kikubwa cha madawa ya kulevya kimekamatwa leo Asubuhi Tunduma Border kikiwa njiani kuvushwa kwenda Africa ya kusini

Ina kadiriwa kilo 80 zilikua zimefichwa sehemu mbali mbali za gari ndogo aina ya Nissan Hard Body,dawa hizo zilikua zimewekwa kwenye taa,ndani kwenye,siti na pia kwenye spare Tyre

Ndani ya gari hilo kulikua na abiria wawili Mwanamke na mwanaume,Mwanamke ana asili ya Kiarabu wakati Mwanaume ni Mswahili wa kawaida

Police wakishirikiana na maafisa wa usalama wa Taifa pamoja na Maafisa wa uhamiaji wanaendelea na upekuzi ikiwa ni pamoja na Kupima kiasi cha mzigo huo
 
Attachments

  • IMG00046-20101118-1207.jpg
    IMG00046-20101118-1207.jpg
    177.6 KB · Views: 65
  • IMG00725-20101118-1355.jpg
    IMG00725-20101118-1355.jpg
    151.2 KB · Views: 55
  • IMG00726-20101118-1355.jpg
    IMG00726-20101118-1355.jpg
    160.7 KB · Views: 60
  • IMG00716-20101020-0825.jpg
    IMG00716-20101020-0825.jpg
    228.5 KB · Views: 64
Kuna kiasi kikubwa cha madawa ya kulevya kimekamatwa leo Asubuhi Tunduma Border kikiwa njiani kuvushwa kwenda Africa ya kusini

Ina kadiriwa kilo 80 zilikua zimefichwa sehemu mbali mbali za gari ndogo aina ya Nissan Hard Body,dawa hizo zilikua zimewekwa kwenye taa,ndani kwenye,siti na pia kwenye spare Tyre

Ndani ya gari hilo kulikua na abiria wawili Mwanamke na mwanaume,Mwanamke ana asili ya Kiarabu wakati Mwanaume ni Mswahili wa kawaida

Police wakishirikiana na maafisa wa usalama wa Taifa pamoja na Maafisa wa uhamiaji wanaendelea na upekuzi ikiwa ni pamoja na Kupima kiasi cha mzigo huo

Hapo hakuna kitu!hata usalama wa taifa wapo,makada wa CCM!!
 
Hapo ni kweli. Hiyo habari haitaendelea tena maana kama ni mali yao wataikamataje tena? Masanduku yale ya kura wakati ule waliyakamata hatimaye yakawa vipodozi. Hata hayo madawa subirini tu mtasikia kuwa ni vipodozi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom