msaragambo
Senior Member
- Aug 6, 2008
- 127
- 17
Kuna kiasi kikubwa cha madawa ya kulevya kimekamatwa leo Asubuhi Tunduma Border kikiwa njiani kuvushwa kwenda Africa ya kusini
Ina kadiriwa kilo 80 zilikua zimefichwa sehemu mbali mbali za gari ndogo aina ya Nissan Hard Body,dawa hizo zilikua zimewekwa kwenye taa,ndani kwenye,siti na pia kwenye spare Tyre
Ndani ya gari hilo kulikua na abiria wawili Mwanamke na mwanaume,Mwanamke ana asili ya Kiarabu wakati Mwanaume ni Mswahili wa kawaida
Police wakishirikiana na maafisa wa usalama wa Taifa pamoja na Maafisa wa uhamiaji wanaendelea na upekuzi ikiwa ni pamoja na Kupima kiasi cha mzigo huo