wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,973
- 27,209
Wakuu kwanza poleni na mishughuliko ya kutwa nzima ya leo!!sory kwa mausumbufu mwenye ujuzi na hili!!plizi!hv majuzi wakati niko stendi kama kawaida yangu pale kipawa niliona kitu kama mpira wa ngozi kimetokea juu ya bati hv kule air pot ndani kikaelekea juu angani kadri kinavyopaa kilizidi kuwa kidogo hadi kikapotelea huko juu angani kukawa hakionekani tena!kila niliejaribu kumwuliza anadai hata wao huwa wanakiona ila hawajui ni nini!pliz wenye uelewa zaidi naombeni mnijuze!nawasilisha!