Kuna kitu nimewaza naomba kujuzwa

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
leo nimepitra barabara ya kasi dar na nimejiuliza ukubwa wa hivi vituo una mantiki gani? kuna usemi wa kiswahili cha mlevi huliwa na mkwezi/mgema
images (2).jpg


dart2.jpg
images (2).jpg
images (2).jpg
 
images.jpg

naendelea kujiuliza mantiki ya daraja la Manzese ilihali watu hupita chini
 
ramani na muonekano wa jinsi BRT itakavyokua mwanzoni kabisa....je ndicho kilichopo?
download (1).jpg
 
nina wasiwasi na uraia wako
Mpaka leo tu hujajua miradi bunifu ikoje?
haya basi labda nikwambie kwamba huo mradi pia ni jipu
 
kama watu wameshindwa kutumia fly over ya manzese sembuse kwa mzunguko wote huu?

1.jpg
 
uko sahihi maana naitwa Amavubi . tafadhali nijuze mbunifu miradi
nina wasiwasi na uraia wako
Mpaka leo tu hujajua miradi bunifu ikoje?
haya basi labda nikwambie kwamba huo mradi pia ni jipu
 
Duuh hata me nashindwa kuwaelewa maana hata sababu Hakuna ya kuwa na li kituo kubwa halafu useless
Ni upotevu wa pesa
 
msafiri kivukoni

7-kituo cha mabasi(BRT)Kivukoni.JPG
 

Attachments

  • 7-kituo cha mabasi(BRT)Kivukoni.JPG
    7-kituo cha mabasi(BRT)Kivukoni.JPG
    25.6 KB · Views: 40
nina wasiwasi na uraia wako
Mpaka leo tu hujajua miradi bunifu ikoje?
haya basi labda nikwambie kwamba huo mradi pia ni jipu
Huyo jamaa kuna thread aliwahi kuileta humu jf na kujitanabaisha kama ni mnyarwanda, kwahiyo asikuumize kichwa, acha ajipendekeze tu kwa watanzania.
 
Back
Top Bottom