Zinduna
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 2,378
- 3,379
Bi dada King'asti hebu nieleze, hivi wewe unavutaga cha wapi ili kuweka uso wa mbuzi kabla hujafunguka?
Kuna issue nyingine kabla ya kufunguka inabidi ulanduke kwanza, hebu leta maushauri ili nimwage radhi
Kaeni mkao wa kushangaa ifikapo hapo baadae.
Huu uzi hauwahusu wanaume naomba muepushe msongamao, nisione pua zenu humu!