Kuna kitu nataka kufunguka, hebu niitieni King'asti aje hapa!!!!!!!

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
Bi dada King'asti hebu nieleze, hivi wewe unavutaga cha wapi ili kuweka uso wa mbuzi kabla hujafunguka?

Kuna issue nyingine kabla ya kufunguka inabidi ulanduke kwanza, hebu leta maushauri ili nimwage radhi

Kaeni mkao wa kushangaa ifikapo hapo baadae.

Huu uzi hauwahusu wanaume naomba muepushe msongamao, nisione pua zenu humu!
 
hili nililihisi mapema kweli! jamani enhe tupisheni la sivyo tunawavalisha kanga muda si mrefu kwanza zubedayo _ michuzi si anataka kuwaanzishia jukwaa lenu!MUMUWACHEEE Zinduna APUMUWE~
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom