Kuna kitu nataka kufunguka, hebu niitieni King'asti aje hapa!!!!!!!

We Erickb52 si umefukuzwa , unachungulia nini sasa..??
283269_10151332639165746_1894528316_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
shosti mie mida yangu ndo hii,pole kwa kukukalisha sana hebu funguka yanayokusibu ingawa kidudu mtu Erick52 na Ruttashobolwa wameng'ang'ania humu kama kupe au wanazo mbili wenzetu hebu toeni ufafanuzi haraka,ikibidi babu Asprin apitishe ukaguzi upya hapa si bure.
 
Asnam mbona mimi sipo kabisa nachungulia kwa mbali kwani Mwl snowhite kaniambia lecture ya leo nisiingie eti wata mwaga....................................................
shosti mie mida yangu ndo hii,pole kwa kukukalisha sana hebu funguka yanayokusibu ingawa kidudu mtu Erick52 na Ruttashobolwa wameng'ang'ania humu kama kupe au wanazo mbili wenzetu hebu toeni ufafanuzi haraka,ikibidi babu Asprin apitishe ukaguzi upya hapa si bure.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom