Kuna kitu huwa nakimisi sana na nitaendelea kukimisi

Miss Kyalla

Senior Member
May 13, 2019
168
135
Kuna kitu hapa wanaume au kina baba hawatakiwi kukichukulia poa, nilelewa na kukulia kwenye familia ya wazazi wote wawili lkn mama ndio alikuwa kila kitu pale home namshukuru Mungu na mzee yeye alikuwaga na mambo yake mwenyewe mwenyewe yani hakuwa friendly na sisi,so tulikuwa hivyoo. Sasa ile hali huwa inaniathiri sana kwanzia nimeanza kujielewa nikiona rafiki zangu baba kaninunulia hiki, nilisafiri na baba, yan wao baba babaa nilikuwa naona wivu sanaa, saivi nimekuwa binti mkubwa tuu bado rafiki zangu tukikaa utaskia ntamwomba baba anisaport, nitaongea na baba, kwenye masend off baba zao wanawapa mazawadi makubwa makubwa yaani wao baba, baba na wao, mimi sasa, nimesota na maisha weee baba wakumwomba anisaidie tatizo langu hakuna saivi katangulia mbele za haki bado kuna mambo yanatokea nazidi kumisi uwepo wake, jamani huwa naumia sana kukosa mapenzi haya ya mzazi mmoja natamani nipate Mume anidekeze haswa niiskie raha ya hawa viumbe wa kiume huku duniani maana mpaka saivi bado sijaiona zaidi ya kunikaba siku moja kunipora kuumizwa yani huwaga nawaangaliaga tuu kaka zangu na haswa pacha wangu niliemfanya ndio babangu ndio wananifanyaga niwawazie positive hawa wanaume.

Sasa basi wewe baba au baba mtarajiwa jitahidi kuwapenda wanao na kuwapa mapenzi kadri uwezavyoo usikae mbali na watoto hata kama hauna kitu hii kitu inaathiri sana kisaikolojia.

Lakin namshukuru Mungu kwa maisha na Kumwombea mama yangu maisha marefu zaidi dunianii
 
Pole sana,but Mungu bado mwema yupo Baba atakaye chukua nafasi hiyo na kuziba Pengo na huo upweke kabisa.Iko siku utakuja na thread inayosema Asante Baba na kunipenda kwa huu Upendo wa Dhati.
Relax God is good,always and Always God is good!
 
Usiwaze mama utapata mume wa kukusahaulisha hayo.

Familia nyingi baba huwa hapindui kwa watoto wake wa kike, ila wa kiume huwa hawaangalii sana, ni kama anawaamini hivi. huyo baba yako alikuwa wa kipekee sana.
 
Amina
 
Ndio maana nimeona niongee na kina baba leo jamani yani nikiwazaga ni mood off.
 
Mfumo wa maisha kwa sasa unawafanya watoro muwe hivyo, kwanza HONGERA kwa kuona umuhimu wa BABA.

Nimejifunza na kupata picha halisi kwa uzao unaoishi sasa kuwa, baadhi ya wazazi kama si wote hawana uvumilivu katika mfumo wa NDOA ambao mimi baba yenu naishi na mama yenu na wadogo zenu kwa furaha.

Uvumilivu na kujikweza kwa baadhi ya wanandoa wa kizazi kipya kunaleta itilafu na kupelekea kushindwa kuimili mikimiki ya kukaa pamoja.

Na....
 
Kuna kitu hapa wanaume au kina baba hawatakiwi kukichukulia poa, nilelewa na kukulia kwenye familia ya wazazi wote wawili lkn mama ndio alikuwa kila kitu pale home namshukuru Mungu na mzee yeye alikuwaga na mambo yake mwenyewe mwenyewe yani hakuwa friendly na sisi,so tulikuwa hivyoo. Sasa ile hali huwa inaniathiri sana kwanzia nimeanza kujielewa nikiona rafiki zangu baba kaninunulia hiki, nilisafiri na baba, yan wao baba babaa nilikuwa naona wivu sanaa, saivi nimekuwa binti mkubwa tuu bado rafiki zangu tukikaa utaskia ntamwomba baba anisaport, nitaongea na baba, kwenye masend off baba zao wanawapa mazawadi makubwa makubwa yaani wao baba, baba na wao, mimi sasa, nimesota na maisha weee baba wakumwomba anisaidie tatizo langu hakuna saivi katangulia mbele za haki bado kuna mambo yanatokea nazidi kumisi uwepo wake, jamani huwa naumia sana kukosa mapenzi haya ya mzazi mmoja natamani nipate Mume anidekeze haswa niiskie raha ya hawa viumbe wa kiume huku duniani maana mpaka saivi bado sijaiona zaidi ya kunikaba siku moja kunipora kuumizwa yani huwaga nawaangaliaga tuu kaka zangu na haswa pacha wangu niliemfanya ndio babangu ndio wananifanyaga niwawazie positive hawa wanaume.

Sasa basi wewe baba au baba mtarajiwa jitahidi kuwapenda wanao na kuwapa mapenzi kadri uwezavyoo usikae mbali na watoto hata kama hauna kitu hii kitu inaathiri sana kisaikolojia.

Lakin namshukuru Mungu kwa maisha na Kumwombea mama yangu maisha marefu zaidi dunianii
Kwa hyo wanaume badala ya kukupa upendo wakaishia kukukaba na kukupora
 
Back
Top Bottom