Kwa maana huyo ni hostadhi sio Alafu hiyo ni
Sheikh ananuñua chair hot(kitimoto)Sijagundua. Kipi hakipo sawa?
Angali nyama vizuriSijagundua. Kipi hakipo sawa?
Anazoom mzigo wa kitimoto!Hujagundua bado
Oooh kumbe!
LyatongaUstaadh kwenye chakla kharam. Afanalek walah
Msiishi kwa kukariri kofia kanzu ni mavazi tu naona huku mtu akivaa kanzu tu au kofia shekhe arabuni watu wanatia kanzu za maana(sio hz za 5,000 rangi tatu) na yupo bar anakula vyombo sijui huku kwetu tunachukuliaje haya mavazi!Ustaadh kwenye chakla kharam. Afanalek walah