Kuna kitu hakipo sawa ,sijui umegundua

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,223
...
IMG_20200607_225609.jpeg
 
Kwenye mlango kuna mbanio! Sijui ndo staili mpya ya ufungaji wa vitu..!!
 
Nyama ya kitimoto na huyo mwenye kibalagashia kafata nini hapo😅
 
Kuvaa kofia sio Uustadhi, nyie vipi kuvaa kofia kuna mambo mawili, waweza kuwa ni ustadh kweli au wengine ni utamaduni tu, mfano watu wa pwani wengi huvaa kama ni utamaduni. John pia anaweza kuvaa kofia je ni ustadh??
Ukimkuta mtu kavaa hivyo then amekwenda kwenye mkuu wa meza jaribu kujua na imani yake.

ᵃʳᵉᵉᵐ
 
Ustaadh kwenye chakla kharam. Afanalek walah
Msiishi kwa kukariri kofia kanzu ni mavazi tu naona huku mtu akivaa kanzu tu au kofia shekhe arabuni watu wanatia kanzu za maana(sio hz za 5,000 rangi tatu) na yupo bar anakula vyombo sijui huku kwetu tunachukuliaje haya mavazi!
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom