Kuna kitu hakipo sawa kwenye Ulinzi wa Rais

Kuna watu sijui mnajikutaga kina nani yaani! Unasema kuna kitu hakipo sawa wataalamu watakuelewa, mnatakaga watu wawaone ma CIA vile yaani . Taja nini hakipo sawa then mada ijadiliwe na hao wataalamu wako waongezee .
 
TISS wanamlindaje rais physically?
Hivi mnajua kuhusu TISS?
Yaani mmeikuza TISS na kuifanya kuwa kitu kikubwa na ajabu wakati ni kiuhalisia sio kabisa.
Hao ndio intelligensia,wenye taarifa zote za nchi kwa kila nyanja.
Kasome historia ya aliyekuwa DG wa Kwanza wa TISS Ndugu Mzena,alivyoweza kumsaidia Nyerere kwenye matukio yote ya uhasi wa jeshi.
Kama Raisi halindwi na majasusi,analindwa na Mabaunsa?au polisi.
Kikosi maalum Cha kumlinda Raisi,ni sehemu ya TISS,
Sie ni nchi ndogo kiuchumi hatuwezi kuwa na specialized agencies kama FBI,Secret service,CIA,state department,homeland security.
Majukumu yote ya usalama wa Raisi,ujasusi wa ndani na nje,yanafsnywa na TISS pamoja na military intelligence.
 
Tatizo la ujuaji limekuwa kero sana siku hizi!
Watu wamekuwa wajuaji kupindukia hadi kero!

Kwa taarifa yenu ANAEMLINDA NI MUNGU! hata hawa walinzi waliopo ni Auxiliary security tu!
MNABOA SANA NA UJUAJI WA KIPUUZI
Wakuangalia Movie za kuigiza
Yaani kuna watu wanajikutaga ma CIA wanaleta movie kwenye ulinzi wa raisi . Waambie umewai kuona wapi kuna mtu anasimama nyuma ya raisi kwa nchi kama marekani hakuna ila SECRETE SERVICES officers wapo arround . Ila Africa paka tuone na wanajeshi na mabunduki
 
Sizijui protokali wala itifaki, binafsi niliona kitu kilinishtua ingawa wahusika wali react faster kidogo baada ya sekunde kadhaa!

Everyday is Saturday................................:cool:

Mimi nimeona kosa wakati anashuka alikuwa analishika lile bomba la ngazi...Haijakaa vizuri maana wabaya wanaweza wakamuwekea polonium210 kwenye bomba maana wanajua akishuka lazima ashike....ESCORT 1 STATE CAR liangalieni hilo.
 
Ulitaka Wamletee parachute limshushe , bila shaka unataka kutuaminisha kuwa atateleza adondoke kwenye hizo stairs
 
Halafu yuko isolated sana
Mambo mengine yanatakiwa kujadiliwa vijiwena na siyo hapa kwani ni aibu. Hivi jamaa hajaona marais wengine wanashuka kwenye ngazi wakiwa peke yao? Ulinzi ukishakuwa vizuri kwenye perimeter aliyo mhusika kunakuwa hakuna mashaka makubwa.
 
Nami niliona wamereact haraka mmh hatar
hata hivo kwa mazingira ya hapo ni vigumu apate tatizo, hiyo sehemu lazima wamejaa walinzi, hata aliyepiga picha huenda ni mlinzi
anyway, nilipitia kitabu cha yule mzee bwimbo aliyekuwa mlinzi mkuu wa Nyerere, kuna sehemu amezungumzia hiko ambacho mleta mada amekiita ni kasoro
kwa mujibu wa yule mzee, wakati mwingine inabidi mazingira yawe hivo kama picha hapo juu ilivo japo sio sahihi kuwa hivo
 
Tazama vizuri picha hii, Rais Samia akiwasili Dar Es Salaam mara baada ya kutoka Uganda.

Picha hii inaonyesha kuna mambo hayako sawa hasa kwa walinzi wa Rais. Wataalam watakuwa wamenielewa, naomba wahusika walifanyie kazi, tunampenda mno Rais wetu.
View attachment 1750281
conspiracy theories tu. Hiyo picha haionyes tatizo lolote la kiuslama kwa kiongozi. hao jamaa wawili hapo ardhini nido waliotangulia kutelemka na kuhakikisha kuwa mazingira yako katika hali nziri kiyusalama. Sasa wewe ulitaka iweje?
 
Back
Top Bottom