Kuna kitu hakipo sawa kwenye Ulinzi wa Rais

Mara nyingi raisi yeyote duniani kama hana imani thabiti kwa Mungu anayemuabudu,anakuwa na mahangaiko ya kulindwa na makomandoo wengi la vile vita imeishatokea,lakini kea upande wa raisi wetu SSH anaonekana kumtanguliza Mungu wake mbele zaidi kuliko kutegemea binadamu waliosheheni mitutu wakati ambapo wanaweza wanaweza kukugeuka saa yoyote mda wowote,rejea kifo cha aliyekuwa raisi wa zamani wa India mama Indira Ghandi.
 
Tatizo la ujuaji limekuwa kero sana siku hizi!
Watu wamekuwa wajuaji kupindukia hadi kero!

Kwa taarifa yenu ANAEMLINDA NI MUNGU! hata hawa walinzi waliopo ni Auxiliary security tu!
MNABOA SANA NA UJUAJI WA KIPUUZI
Wakuangalia Movie za kuigiza
one of the best comments I've read since we started 2021. Ujuaji umezid sana leo, hizi movies zinadanganya sana watu, ndiomana hata kwa mafunzo ya CIA the first day mnaambiwa kabisa "Forget all that crap you on the movie "
 
endeleeni kumwaga nondo wakuu namimi nikienda kitaa nisimulie nionekane mtaalamu/mbobezi wa maswala ya kiitelejensia
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom