notradamme
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 2,009
- 452
Tangu mwanzo wa sakata la ESCROW, ndani kabisa ya moyo wangu kuna sauti ilikuwa inaniambia kuwa KUNA MCHEZO UKO ENGINEERED NA WATU AMA KIKUNDI FULANI CHA KIMASLAHI eidha kutoka upande mmoja ama pande zote zinazosigana katika huu mgogoro. nimepata ufunuo baada ya hotuba ya utetezi ya professor MUHONGO waziri wa nishati na madini.
niliipitia kwa umakini mkubwa ripoti ya PAC iliyowasilishwa jana na ZZK na kumaliziwa na DEO FILIKUNJOMBE. niseme ukweli tuu kuwa nilipigwa na butwaa jinsi ambavyo PAC ilijitahidi kutoihusisha STANDARD CHARTERED BANK HONGKONG NA NIMROD MKONO AND ADVOCATES katika sakata hili. hawa wameongelewa kwa kifupi mno na PAC kiasi cha kunitia wasiwasi.
Ripoti ya ZZK imejaa shutuma zilizosukwa kisisasa na kujaribu kushinikiza makosa na hukumu kwa njia za kisiasa kuliko ushahidi. kuna kila sababu ya kuiona ripoti ya PAC kama imekaa kimkakati kuliko kisheria na ukiukwaji wa taratibu.Baada ya kumsikiliza vizuri PROF MUHONGO, naanza kupata kile kilichokuwa nakihofia.
bila kutanguliza ushabiki, ni wazi kuwa MUHONGO AMEWAKALISHA NA KUWASAMBARATISHA PAC kwa kiwango cha kustahili kusema AMEWADHALILISHA.. ametufunulia uhusika wa MKONO NA STD CHARTERED katika hili sakata kitu ambacho PAC hawakutaka kutujuza. na mwishowe tunaweza kuona nguvu za wafanyabiashara nyuma ya hili swala.
wasiwasi wangu ni kwamba..
hili linaweza kuwa A LIFETIME BLOW KWA ZZK na linaweza lika signify mwisho wa zama zake kisiasa.
ilikuwa kila nikimuangalia MUHONGO napata picha ya mtu INNOCENT 100% na mwenye kujiamini kupita kiasi. ukijumlisha na historia yake ya kutokuwa muomba/mla rushwa, nasikitika kusema HII INAWEZA IKAWA NI AIBU KUBWA KWA KAMATI NA ZZK kwa ujumla.
ESCROW ACCOUNT SAGA IS A CONCENTRATED DYNAMITE PACKAGE, WHEN IT EXPLODE......NO ONE WILL BE SAFE..