Kuna kitu hakiko sawasawa hapa, Tusubiri tuone

notradamme

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
2,012
1,195
Tangu mwanzo wa sakata la ESCROW, ndani kabisa ya moyo wangu kuna sauti ilikuwa inaniambia kuwa KUNA MCHEZO UKO ENGINEERED NA WATU AMA KIKUNDI FULANI CHA KIMASLAHI eidha kutoka upande mmoja ama pande zote zinazosigana katika huu mgogoro. nimepata ufunuo baada ya hotuba ya utetezi ya professor MUHONGO waziri wa nishati na madini.
niliipitia kwa umakini mkubwa ripoti ya PAC iliyowasilishwa jana na ZZK na kumaliziwa na DEO FILIKUNJOMBE. niseme ukweli tuu kuwa nilipigwa na butwaa jinsi ambavyo PAC ilijitahidi kutoihusisha STANDARD CHARTERED BANK HONGKONG NA NIMROD MKONO AND ADVOCATES katika sakata hili. hawa wameongelewa kwa kifupi mno na PAC kiasi cha kunitia wasiwasi.
Ripoti ya ZZK imejaa shutuma zilizosukwa kisisasa na kujaribu kushinikiza makosa na hukumu kwa njia za kisiasa kuliko ushahidi. kuna kila sababu ya kuiona ripoti ya PAC kama imekaa kimkakati kuliko kisheria na ukiukwaji wa taratibu.Baada ya kumsikiliza vizuri PROF MUHONGO, naanza kupata kile kilichokuwa nakihofia.
bila kutanguliza ushabiki, ni wazi kuwa MUHONGO AMEWAKALISHA NA KUWASAMBARATISHA PAC kwa kiwango cha kustahili kusema AMEWADHALILISHA.. ametufunulia uhusika wa MKONO NA STD CHARTERED katika hili sakata kitu ambacho PAC hawakutaka kutujuza. na mwishowe tunaweza kuona nguvu za wafanyabiashara nyuma ya hili swala.
wasiwasi wangu ni kwamba..
hili linaweza kuwa A LIFETIME BLOW KWA ZZK na linaweza lika signify mwisho wa zama zake kisiasa.
ilikuwa kila nikimuangalia MUHONGO napata picha ya mtu INNOCENT 100% na mwenye kujiamini kupita kiasi. ukijumlisha na historia yake ya kutokuwa muomba/mla rushwa, nasikitika kusema HII INAWEZA IKAWA NI AIBU KUBWA KWA KAMATI NA ZZK kwa ujumla.
ESCROW ACCOUNT SAGA IS A CONCENTRATED DYNAMITE PACKAGE, WHEN IT EXPLODE......NO ONE WILL BE SAFE..
 
swissme

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
13,660
2,000

Uchafu toa hapa.
 
JUST

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
554
250
[QUOTE=notradamme;

Mkono: Tanesco na IPTL wekeni pesa za Capacity Charge kwenye Escrow A/c mpaka mgogoro upate usuluishi

Mhongo, Werema, Bodi Ya tanesco, Maswi: Hila zitoke sio mali ya serikali

Jiulize sasa Je? mgogoro wa tanesco wa bei ya capacity charge uliisha.
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,386
2,000
Hapo Muhongo ni sawa na kusema jamani mbona MKONO hamjamuona?Mbona na yeye ni FISADI pia?Cha msingi pesa zilikuwa za UMMA na itaenelea kuwa hivyo.

Tatizo kubwa tulilonalo ni viongozi wetu kutokuwa makini na maamuzi yao.Wengi wapo kimaslahi zaidi.Na hii imechezwa kama ilivyochezwa EPA!Na sababu za kutolewa pesa ni zile zile,kudhani kudhani kudhani.

Cha msingi bado kulikuwa hakuna uhalali wa kumpa singa singa pesa za ESCROW zilikuwa siyo haki yake.Hata kama kulikuwa na madeni lukuki,bado suala lipo pale pale,PAC walichosema kuna umhimu wa kufuatilia pesa zilizolipwa na TANESCO zaidi ya capacity charges,je walilipa mkopo wa SCB HK?Kama ndiyo basi kwa uhakika kabisa mitambo ilikuwa inamilikiwa na TANESCO na si Merchar tena.

Maelezo ya MUHONGO yanaleta maswali mengi kuliko majibu.
 
kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,727
2,000
Tangu mwanzo wa sakata la ESCROW, ndani kabisa ya moyo wangu kuna sauti ilikuwa inaniambia kuwa KUNA MCHEZO UKO ENGINEERED NA WATU AMA KIKUNDI FULANI CHA KIMASLAHI eidha kutoka upande mmoja ama pande zote zinazosigana katika huu mgogoro. nimepata ufunuo baada ya hotuba ya utetezi ya professor MUHONGO waziri wa nishati na madini.
niliipitia kwa umakini mkubwa ripoti ya PAC iliyowasilishwa jana na ZZK na kumaliziwa na DEO FILIKUNJOMBE. niseme ukweli tuu kuwa nilipigwa na butwaa jinsi ambavyo PAC ilijitahidi kutoihusisha STANDARD CHARTERED BANK HONGKONG NA NIMROD MKONO AND ADVOCATES katika sakata hili. hawa wameongelewa kwa kifupi mno na PAC kiasi cha kunitia wasiwasi.
Ripoti ya ZZK imejaa shutuma zilizosukwa kisisasa na kujaribu kushinikiza makosa na hukumu kwa njia za kisiasa kuliko ushahidi. kuna kila sababu ya kuiona ripoti ya PAC kama imekaa kimkakati kuliko kisheria na ukiukwaji wa taratibu.Baada ya kumsikiliza vizuri PROF MUHONGO, naanza kupata kile kilichokuwa nakihofia.
bila kutanguliza ushabiki, ni wazi kuwa MUHONGO AMEWAKALISHA NA KUWASAMBARATISHA PAC kwa kiwango cha kustahili kusema AMEWADHALILISHA.. ametufunulia uhusika wa MKONO NA STD CHARTERED katika hili sakata kitu ambacho PAC hawakutaka kutujuza. na mwishowe tunaweza kuona nguvu za wafanyabiashara nyuma ya hili swala.
wasiwasi wangu ni kwamba..
hili linaweza kuwa A LIFETIME BLOW KWA ZZK na linaweza lika signify mwisho wa zama zake kisiasa.
ilikuwa kila nikimuangalia MUHONGO napata picha ya mtu INNOCENT 100% na mwenye kujiamini kupita kiasi. ukijumlisha na historia yake ya kutokuwa muomba/mla rushwa, nasikitika kusema HII INAWEZA IKAWA NI AIBU KUBWA KWA KAMATI NA ZZK kwa ujumla.
ESCROW ACCOUNT SAGA IS A CONCENTRATED DYNAMITE PACKAGE, WHEN IT EXPLODE......NO ONE WILL BE SAFE..
Unaweza kutuambia huyo MUONGO zile 2.6 billion alizopokea ni kwa ajili ya nini?
 
Isalia

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
1,140
1,500
Kwa hiyo unataka kutwambia hakuna wizi wowote wa bilioni za umma zilizochotwa na wajanja wachache.
 
namanyele

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
1,855
1,250
Ndiyo tatizo letu sisi watanzania kucheka cheka tu kwenye mambo mazito kama haya. Wewe moja kwa moja tayari umeshaishutumu report ya ZZK kisa kujitetea tu kwa Muhongo na maneno yake ya uongo. Ina maana nawe unabisha kuwa zile sio feddha za umma ?, na kama sio kwanini zilikuwa na mlolongo wa kiserikali ?
 
kuna kitu kinawachanganya nyie..
zile fedha zilihifadhiwa katika account iliyofunguliwa BOT ambayo ni serikali. sasa sijui zingetokaje BOT bila idhini na milolongo ya kiserikali.
cha msingi ni kuangalia evidence kama alivyoambatanisha muhongo kama DISPUTE baina ya tanesco na iptl ilishakuwa settled. kuhusu kesi ya STD CHARTERED na tanesco, hilo halihusiani na fedha za escrow kwa sababu std chartered hawakuwa wahusika wa fedha za escrow kwa namana yoyote.
 
notradamme

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
2,012
1,195
Kwa hiyo wale waliochota pesa ilikuwa sawa tuu? Kumbaff!
tujaribu kuwa realistic.
rugemalila hana mahali anapoweza kuingizwa wala kukutwa na hatia katika hili sakata. fedha zake alizipata baada ya kuuza hisa za kampuni yake anayomiliki kihalali. kuhusu anamgawia nani na kwa malengo gani!!! hiyo ni issue nyingine na huenda ikahitaji uchunguzi huru tofauti kabisa na hili sakata.
kutoka kwenye kamati ya ZZK ninachokiona cha maana ni UKIUKWAJI MKUBWA WA UCHAKATAJI WA FEDHA(MONEY LOUNDARING ) uliofanywa na benki ya mkombozi na hilo nadhani linahitaji hatua za kisheria
 
The Red Pen

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
518
225
Tangu mwanzo wa sakata la ESCROW, ndani kabisa ya moyo wangu kuna sauti ilikuwa inaniambia kuwa KUNA MCHEZO UKO ENGINEERED NA WATU AMA KIKUNDI FULANI CHA KIMASLAHI eidha kutoka upande mmoja ama pande zote zinazosigana katika huu mgogoro. nimepata ufunuo baada ya hotuba ya utetezi ya professor MUHONGO waziri wa nishati na madini.
niliipitia kwa umakini mkubwa ripoti ya PAC iliyowasilishwa jana na ZZK na kumaliziwa na DEO FILIKUNJOMBE. niseme ukweli tuu kuwa nilipigwa na butwaa jinsi ambavyo PAC ilijitahidi kutoihusisha STANDARD CHARTERED BANK HONGKONG NA NIMROD MKONO AND ADVOCATES katika sakata hili. hawa wameongelewa kwa kifupi mno na PAC kiasi cha kunitia wasiwasi.
Ripoti ya ZZK imejaa shutuma zilizosukwa kisisasa na kujaribu kushinikiza makosa na hukumu kwa njia za kisiasa kuliko ushahidi. kuna kila sababu ya kuiona ripoti ya PAC kama imekaa kimkakati kuliko kisheria na ukiukwaji wa taratibu.Baada ya kumsikiliza vizuri PROF MUHONGO, naanza kupata kile kilichokuwa nakihofia.
bila kutanguliza ushabiki, ni wazi kuwa MUHONGO AMEWAKALISHA NA KUWASAMBARATISHA PAC kwa kiwango cha kustahili kusema AMEWADHALILISHA.. ametufunulia uhusika wa MKONO NA STD CHARTERED katika hili sakata kitu ambacho PAC hawakutaka kutujuza. na mwishowe tunaweza kuona nguvu za wafanyabiashara nyuma ya hili swala.
wasiwasi wangu ni kwamba..
hili linaweza kuwa A LIFETIME BLOW KWA ZZK na linaweza lika signify mwisho wa zama zake kisiasa.
ilikuwa kila nikimuangalia MUHONGO napata picha ya mtu INNOCENT 100% na mwenye kujiamini kupita kiasi. ukijumlisha na historia yake ya kutokuwa muomba/mla rushwa, nasikitika kusema HII INAWEZA IKAWA NI AIBU KUBWA KWA KAMATI NA ZZK kwa ujumla.
ESCROW ACCOUNT SAGA IS A CONCENTRATED DYNAMITE PACKAGE, WHEN IT EXPLODE......NO ONE WILL BE SAFE..
Hata mimi nimegundua kitu hapa. Kwamba ESCROW ACCOUNT SCANDAL imegubikwa na mchezo mchafu wa kimaslahi ya kisiasa na kiuchumi. Siyo MHONGO wala PAC wanaoweza kutueleza sisi watanzania ukweli wote kuhusiana na hii FILAM nzima. Kinachofanyika ni kuwa kila upande unajitahidi kuleta vipande (CLIPS) kufunika ukweli wa hoja za upande PINZANI. But FRANKLY SPEAKING mfumo mzima wa serikali ya CCM UMEOZA,UNANUKA na HAUFAI HATA KIDOGO....
 
Kagalala

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
2,381
2,000
Tangu mwanzo wa sakata la ESCROW, ndani kabisa ya moyo wangu kuna sauti ilikuwa inaniambia kuwa KUNA MCHEZO UKO ENGINEERED NA WATU AMA KIKUNDI FULANI CHA KIMASLAHI eidha kutoka upande mmoja ama pande zote zinazosigana katika huu mgogoro. nimepata ufunuo baada ya hotuba ya utetezi ya professor MUHONGO waziri wa nishati na madini.
niliipitia kwa umakini mkubwa ripoti ya PAC iliyowasilishwa jana na ZZK na kumaliziwa na DEO FILIKUNJOMBE. niseme ukweli tuu kuwa nilipigwa na butwaa jinsi ambavyo PAC ilijitahidi kutoihusisha STANDARD CHARTERED BANK HONGKONG NA NIMROD MKONO AND ADVOCATES katika sakata hili. hawa wameongelewa kwa kifupi mno na PAC kiasi cha kunitia wasiwasi.
Ripoti ya ZZK imejaa shutuma zilizosukwa kisisasa na kujaribu kushinikiza makosa na hukumu kwa njia za kisiasa kuliko ushahidi. kuna kila sababu ya kuiona ripoti ya PAC kama imekaa kimkakati kuliko kisheria na ukiukwaji wa taratibu.Baada ya kumsikiliza vizuri PROF MUHONGO, naanza kupata kile kilichokuwa nakihofia.
bila kutanguliza ushabiki, ni wazi kuwa MUHONGO AMEWAKALISHA NA KUWASAMBARATISHA PAC kwa kiwango cha kustahili kusema AMEWADHALILISHA.. ametufunulia uhusika wa MKONO NA STD CHARTERED katika hili sakata kitu ambacho PAC hawakutaka kutujuza. na mwishowe tunaweza kuona nguvu za wafanyabiashara nyuma ya hili swala.
wasiwasi wangu ni kwamba..
hili linaweza kuwa A LIFETIME BLOW KWA ZZK na linaweza lika signify mwisho wa zama zake kisiasa.
ilikuwa kila nikimuangalia MUHONGO napata picha ya mtu INNOCENT 100% na mwenye kujiamini kupita kiasi. ukijumlisha na historia yake ya kutokuwa muomba/mla rushwa, nasikitika kusema HII INAWEZA IKAWA NI AIBU KUBWA KWA KAMATI NA ZZK kwa ujumla.
ESCROW ACCOUNT SAGA IS A CONCENTRATED DYNAMITE PACKAGE, WHEN IT EXPLODE......NO ONE WILL BE SAFE..
Escrow account ilifunguliwa kwa sababu kulikuwa na Mgogoro kati ya Tanesco na IPTL juu a capacity charges. Je huo mgogoro umeisha mpaka wakatoa hizo hela. Tuache kutetea WIZI. Na je mbona hajasema lolote kuhusu uongo katika bei za Hisa?
 
namanyele

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
1,855
1,250
kuna kitu kinawachanganya nyie..
zile fedha zilihifadhiwa katika account iliyofunguliwa BOT ambayo ni serikali. sasa sijui zingetokaje BOT bila idhini na milolongo ya kiserikali.
cha msingi ni kuangalia evidence kama alivyoambatanisha muhongo kama DISPUTE baina ya tanesco na iptl ilishakuwa settled. kuhusu kesi ya STD CHARTERED na tanesco, hilo halihusiani na fedha za escrow kwa sababu std chartered hawakuwa wahusika wa fedha za escrow kwa namana yoyote.
Hayo unayosema nawe huna uhakika nayo ila umeyaamini toka kwa mtuhumiwa akijitetea, sasa katika ile hotuba yake ambayo kaitoa asubuhi mbona hakuna sehemu hata moja aliyosema kuwa zile fedha waligawana kwa misingi ipi,
 
notradamme

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
2,012
1,195
Hayo unayosema nawe huna uhakika nayo ila umeyaamini toka kwa mtuhumiwa akijitetea, sasa katika ile hotuba yake ambayo kaitoa asubuhi mbona hakuna sehemu hata moja aliyosema kuwa zile fedha waligawana kwa misingi ipi,
sijajua kugawana wamegawana akina nani!!!!
ninachojua ni kwamba mmoja wa wana hisa VIP( RUGEMALILA) Baada ya kupata mgawo wake wa halali kabisa baada ya kufanya biashara ya hisa, akaamua kuwaruzuku marafiki zake na washirika wake. hapakuwa na kugawana bali palikuwa na mtu mmoja anayegawia wengine.
ninaunga mkono uchunguzi wa kimahusiano baina ya rugemalila na wale aliwapa mgawo. lakini hilo halinifanyi niamini kwamba fedha zile hazikuwa mali halali ya regemalila baada ya kuuza hisa zake
 
optimus prime

JF-Expert Member
Sep 20, 2014
386
195
Katika Ukurasa wa 8 Aya ya 2 ya Taarifa ya PAC imeelezwa kuwa mwaka 2004 TANESCO ilifungua shauri la ICSID 2 kupinga kiasi kikubwa cha tozo ya Capacity Charge.

Ufafanuzi

Mheshimiwa Spika, Taarifa hiyo siyo kweli kwani TANESCO haijawahi kufungua shauri lolote ICSID ya London au Mahakama yo yote dhidi ya Standard Charterd Bank kupinga kiasi kikubwa cha Capacity Charge kama inavyoelezwa katika Taarifa ya PAC. Shauri la ICSID 2 lilifunguliwa tarehe 31 Oktoba 2010 na Standard Chatered Bank Hong Kong (SCBHK) kwa ajili ya kudai malipo ya deni ililonunua kutokana na mkopo uliotolewa na mabenki ya ushirika ya Malaysia kwa IPTL. Wahusika katika Shauri hilo la ICSID 2 ni SCBHK na TANESCO na wala siyo TANESCO na IPTL.

Mheshimiwa Spika, Tarehe 12 Februari, 2014 ICSID ilitoa uamuzi kuhusiana na Shauri la SCBHK na TANESCO na kuwashauri wakae kukokotoa upya malipo ya Capacity Charge. Hata hivyo, ilikuwa vigumu kwa pande hizo kutekeleza uamuzi huo kutokana na pande hizo kutokuwa na Mkataba wa kibiashara baina yao. Vile vile, kupitia Shauri la Madai Na. 60/2014, lililofunguliwa

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom