Habari za Siku nyingi ndugu zangu nina shida naombeni msaada wenu sana Mama ni mama kijacho wa wiki 23 kuna kakipele kalinitokea sehemu za siri kwa nje kwenye mashavu karibia na mstari unaotenganisha kwa bibi na paja.
Nilienda pharmacy wakanipa clotrimazole cream nikapaka baadae nikaona kama kinaongezeka ukubwa nikaenda hospital Dr kaniambia ni visundo/wartts na akadai kwamba hakitibiki hadi nijifungue ndio wakichome
Sasa nawaza kama kinasambaa nikisubiri hadi nijifungue si kitakuwa kimesambaa sana je kutakuwa na uwezekana wakuzaa kawaida au hadi operation yaani nimekosa amani hadi pressure imeshuka naweza zaa hata njiti.
Naamini huyu ni dr kasema na akili zake zimeishia hapo naomba kama kuna mtu mwenye dawa yyte inayoweza kunisaidia bila madhara anipe.
Nikidogo sana hakina hata mwezi tangu kimeota. Asanteni sana natanguliza shukrani nasubiri majibu kutoka kwenu au kwa waliowahi kupitia hili wanisaidie walifanyaje!!!!!!!
Kumbukeni kuwa mimi ni mjamzito miezi saba kasoro