Kuna kiongozi wa nchi ya Kiarabu alienda South?

obedson

Member
Jan 20, 2010
31
8
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu maombolezo ya msiba wa hayati Nelson Mandela ila sijasikia wala kuona kiongozi wa nchi za kiarabu akiongelea huo msiba au kuhudhuria kama yupo tafadhali naomba mnijulishe.
 
Wapo! hadi wa Afganistan yupo South Africa tangu jana.
 
Siasa zao ni tofauti na siasa zetu,sio lazima watoke wote waje kwenye msiba kwasababu waliomjua vizuri Mandela ni wachache. But nimeskia pia kuna baadhi wameongelea huo msiba.
 
waarabu wanachukia kuona mtu mweusi yupo huru, wangetamani umwinyi uendelee.
 
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu maombolezo ya msiba wa hayati Nelson Mandela ila sijasikia wala kuona kiongozi wa nchi za kiarabu akiongelea huo msiba au kuhudhuria kama yupo tafadhali naomba mnijulishe.
988375_1435604009987447_24555067_n.jpg
 
Siyo Waarabu peke yao, Netanyahu wa Israel hakwenda sababu ya gharama kubwa ya safari, Putin hakutokea sababu hazijulikani na Dalai Lama inasemakana amenyimwa VISA tena na SA authority.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom