Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo! hadi wa Afganistan yupo South Africa tangu jana.Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu maombolezo ya msiba wa hayati Nelson Mandela ila sijasikia wala kuona kiongozi wa nchi za kiarabu akiongelea huo msiba au kuhudhuria kama yupo tafadhali naomba mnijulishe.
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu maombolezo ya msiba wa hayati Nelson Mandela ila sijasikia wala kuona kiongozi wa nchi za kiarabu akiongelea huo msiba au kuhudhuria kama yupo tafadhali naomba mnijulishe.
Iran sio warabu ni Persian
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu maombolezo ya msiba wa hayati Nelson Mandela ila sijasikia wala kuona kiongozi wa nchi za kiarabu akiongelea huo msiba au kuhudhuria kama yupo tafadhali naomba mnijulishe.
sidhani kama ni kweli,ukichukulia kuwa wao pia walihusika sana na ukombozi wa africa kusini.pitia orodha ya wageni waliohudhuria utaona walikuwepo wengi tu,kutoka saudia,algeria,sahara,tunisia,etcwaarabu wanachukia kuona mtu mweusi yupo huru, wangetamani umwinyi uendelee.
Nilimsikia huyu wa irani akiongelea
Iran sio Waarabu. Kumbuka hilo.
Wameenda..! Israel ndio haikutuma mtu.
shimon hakwenda ni mgonjwa kazeeka sana.yupo shimon perez rais wa israel hata wajeruman wamemtuma rais na sio chancellor