Kuna kiongozi wa nchi ya Kiarabu alienda South?

O

obedson

Member
29
45
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu maombolezo ya msiba wa hayati Nelson Mandela ila sijasikia wala kuona kiongozi wa nchi za kiarabu akiongelea huo msiba au kuhudhuria kama yupo tafadhali naomba mnijulishe.
 
TsafuRD

TsafuRD

JF-Expert Member
1,818
2,000

Wapo! hadi wa Afganistan yupo South Africa tangu jana.
 
L

Luqash

JF-Expert Member
916
195
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu maombolezo ya msiba wa hayati Nelson Mandela ila sijasikia wala kuona kiongozi wa nchi za kiarabu akiongelea huo msiba au kuhudhuria kama yupo tafadhali naomba mnijulishe.
Wameenda..! Israel ndio haikutuma mtu.
 
N

newbie

JF-Expert Member
216
0
Siasa zao ni tofauti na siasa zetu,sio lazima watoke wote waje kwenye msiba kwasababu waliomjua vizuri Mandela ni wachache. But nimeskia pia kuna baadhi wameongelea huo msiba.
 
2013

2013

JF-Expert Member
11,120
2,000
waarabu wanachukia kuona mtu mweusi yupo huru, wangetamani umwinyi uendelee.
 
EWGM's

EWGM's

JF-Expert Member
1,523
2,000
Siyo Waarabu peke yao, Netanyahu wa Israel hakwenda sababu ya gharama kubwa ya safari, Putin hakutokea sababu hazijulikani na Dalai Lama inasemakana amenyimwa VISA tena na SA authority.
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
34,700
2,000
waarabu wanachukia kuona mtu mweusi yupo huru, wangetamani umwinyi uendelee.
sidhani kama ni kweli,ukichukulia kuwa wao pia walihusika sana na ukombozi wa africa kusini.pitia orodha ya wageni waliohudhuria utaona walikuwepo wengi tu,kutoka saudia,algeria,sahara,tunisia,etc
 
Genekai

Genekai

R I P
12,537
2,000
Kwenye tv nimeona baadhi ya jamaa wamevaa "nguo za kiarabu" inawezekana walienda!
 
Forum statistics

Threads
1,424,934

Messages
35,076,363

Members
538,167
Top Bottom