Kuna 'Kiongozi' Mmoja 'anahangaika' sana 'Kujiokoa' na hana 'Amani' hivyo nampa tu huu 'Ushauri' na akitaka asalimike kwa 'Maovu' yake atii niyasemayo

Mali zake zote alizipata kwa dhuluma zitakwisha zote hadi arudie Kazi yake ya awali ya kukata mkaa.
 
Kweli si si emu wanatesa na kuteseka kwa zamu! Yaani kuna watoto wa mjini walioishi kama Mashetani enzi zile! Full kupelekeshwa puta na watoto wa mfalme Juha! Leo hii eti wamerudishiwa ulaji wao kibabe! Na wale wapori pori walio faidi kwa muda mchache kuishi kama Malaika, leo hii wamerudi kule kule porini walikotokea! Dah! Pole yao kwa kweli.

Ila huu usemi wa kitambo unaosema "Never trust a woman, kama una ka ukweli hivi"
 
Dunia duara bahati haiji mara mbili
 
Jamaa umri mdogo alishindwa kuona mbali, kajiharibia kisiasa.
2922008_IMG_20200820_205617.jpg

Angalizo: picha haihusiani na mada...
 
Back
Top Bottom