Kuna kila sababu ya kuweka mahusiano mazuri na pande zote!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,596
Nimeona niseme hivi,
Sasa wakati wakuweka mahusiano mazuri na kila pande umefika na hii nikutokana na mivutano isiyokuwa na msingi kuendelea kuwepo,Kuanzia Bungeni ni mivutano,Vyama vya upinzania ni mivutano Hivyo inahitajika somo la uraia kwa wananchi kuwa wazalendo,pia vyombo vya dola kujiweka mbali na mivutano ya kisiasa...Haiingii akilini kuona majeshi yetu yafanyia ambushi hii inatisha hivi hivi kidogo kidogo baadae unakuta ni mkundi makubwa hivyo niombe tuwe na mahusiano mazuri ya kisiasa tusivutane ili likija swala ambalo ni hatarishi kwa usalama wa nchi wote tunaungana!
Ndiyo maana inafikia wananchi wanafurahia mauaji hii siyo ishara nzuri hata kidogo.
Mahusiano na vyombo vya dola ni muhimu sana mbaya inakuja vyombo vya dola vikijikita katika migogoro ya kisiasa ni hatari sana.
Hivi hao majambazi wa mkuranga wanahishi katika hiyo nyumba kwa mda gani??
Na sisitiza uzalendo sasa unahitajika tuweke mbali itikadi zetu za vyama.
 
umeongea point mkuu yaani naona sasa siasa ndo zinazoongoza nchi badala yake maana itikadi ndo zimeshika nafasi kubwa sijui tunakoelekea wapi sasa
 
Back
Top Bottom