Kuna kila dalili za Lembeli kurudi CCM!

Huyu mzee alijiunga CHADEMA akidhani wako serious. Ukumbuke kuwa huyu mzee ni miongoni mwa wabunge wa CCM ambao walikuwa wakiupinga ufisadi kwa nguvu zote. Aliamini anakwenda CHADEMA kuendeleza mapambano dhidi ya ufisadi. Kwa bahati mbaya kwake haikuchukua muda mrefu mara baada ya yeye kujiunga CHADEMA mzee Lowassa naye akajiunga na CHADEMA. Sasa agenda ya ufisadi ikafa kifo cha mende. Sasa abaki CHADEMA kufanya nini? Hakuna tofauti kati ya Lembeni na Mpendazoe. Sio watu wa kubaki CHADEMA ambayo agenda iliyowaweka kwenye ramani wameitema kwa sababu ya kumkabidhi chama mtu asiyeipenda hiyo agenda.

Licha ya kuwa na uzoefu na uzalendo wa kweli huyu mzee hajapewa nafasi ujumbe kamati kuu kama za kina E. Lowassa na F. Sumaye. Angekuja huku angemchalenji sana Mbowe hatimaye tungepata CHADEMA imara sana. Hawezi vumilia ubabaishaji uliopo CHADEMA!
 
CDM iligeuka jiwe siku walipousaliti msimamo uliowapa sifa na wafuasi. Haitarudi kwenye mstari hadi viongozi waliobadili gia angani wawapishe wengine wataokuwa na moral authority ya kuanza kupinga ufisadi na kupigania demokrasia tena.
 
Soon atakuja kuungana na magufuli kuijenga ccm Mpya..nyakati hizi watu kama lembeli magufuli anawahitaji sana..sio nyakati zile za wenye nacho ndio wanahozi chama..kwa sasa hiyo IPO chadema..sijawai muona hata katika kikao chochote cha chama au kutoa tamko..
 
Aje na yeye aambulie mgao wa rambi rambi
 
Huyu anaota tu kama angekuwa upande ule ingefaa apple kwenye kisongo ambako kuna mtambo wa kumzuia mtu kuota
 
yaani mambo yoote yanoendelea hapa nchini umekosa kuona isipokuwa umefanikiwa kuona Lembeli akirudi CCM? aiseee wewe bure kabisa
 
Huyu mzee alijiunga CHADEMA akidhani wako serious. Ukumbuke kuwa huyu mzee ni miongoni mwa wabunge wa CCM ambao walikuwa wakiupinga ufisadi kwa nguvu zote. Aliamini anakwenda CHADEMA kuendeleza mapambano dhidi ya ufisadi. Kwa bahati mbaya kwake haikuchukua muda mrefu mara baada ya yeye kujiunga CHADEMA mzee Lowassa naye akajiunga na CHADEMA. Sasa agenda ya ufisadi ikafa kifo cha mende. Sasa abaki CHADEMA kufanya nini? Hakuna tofauti kati ya Lembeni na Mpendazoe. Sio watu wa kubaki CHADEMA ambayo agenda iliyowaweka kwenye ramani wameitema kwa sababu ya kumkabidhi chama mtu asiyeipenda hiyo agenda.
Acha utahira ww ..Lowassa na Lembeli nani katangulia kujiunga na chadema ...wadanganye mapimbi wenzio wa lumumba ...kama anarudi ccm kipi cha ajabu?? Tuko imara kuliko chama chako chakavu ambacho kinapumlia mipira ya polisi ...chadema hata aondoke nani hatuwezi kuyumba ..sisi ni raia wakakamavu ..hutuwezi kuyumbishwa na upepo...achana na propaganda uchwara fisiem ww
 
Soon atakuja kuungana na magufuli kuijenga ccm Mpya..nyakati hizi watu kama lembeli magufuli anawahitaji sana..sio nyakati zile za wenye nacho ndio wanahozi chama..kwa sasa hiyo IPO chadema..sijawai muona hata katika kikao chochote cha chama au kutoa tamko..
Utaonaje wakat huna macho wala masikio?
 
Licha ya kuwa na uzoefu na uzalendo wa kweli huyu mzee hajapewa nafasi ujumbe kamati kuu kama za kina E. Lowassa na F. Sumaye. Angekuja huku angemchalenji sana Mbowe hatimaye tungepata CHADEMA imara sana. Hawezi vumilia ubabaishaji uliopo CHADEMA!
Mi mwenyewe nmeshaona hizo dalili kimya Kingi...........
 
Back
Top Bottom