Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,230
- 6,469
Umuofia kwenu wadau,
Kutoka ktk chanzo kisicho na chembe ya uongo ni kuwa, CCM itashinda kwa vishindo huko Moita wilaya ya Monduli.
Mgombea wa CCM ambaye ni kanjanja wa darasa la saba ndugu Mbayani Damuni anachuana na msomi wa shahada ya maendeleo ya jamii ndugu Lobulu Lomunyaki.Aliyekuwa diwani wa kata hiyo kupitia CHADEMA ndugu Edward Sapunyu alihamia CCM na kugombea kupitia kura ya maoni lakini alishindwa kufua dafu.