Kuna kila dalili Waganda wanaingia kwenye ukombozi wa pili, jameni Wakenya tujiandae kuwapokea maana huu upweke

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,745
48,375
Idadi kubwa ya mawaziri akiwemo makamu wa rais na wabunge wa mlengo wa serikali wamepoteza ubunge, Waganda wameamua, wamefanya aina ya maamuzi tuliyofanya zaidi ya miaka 20 iliyopita, ukombozi wa pili unawajia, tuendelee kuwaombea ili kama ikitendeka kweli, Museveni asigome kuachia. Upokwezaji uwe wa amani bila umwagikaji wa damu.

Angalau Afrika Mashariki tuwe na mataifa mawili yaliyokombolewa kutoka kwa mkoloni mweusi baada ya mababu zetu kumfukuza mkoloni mzungu.

Hii hata Museveni akigoma kuachia sijui atatawala vipi maana amepoteza wabunge hadi basi, na hapo ni baada ya kusindika kura balaa lakini Waganda wamemchoka mzee wa watu. Uzuri Waganda sio waoga, ikionekana wazi kwamba kaiba, lazima watajitokeza sema kule ni balaa maana Museveni hutumia jeshi la UPDF, ambao jukumu lao kikatiba ni kuilinda nchi dhidi ya wavamizi wa kutokea nje, sio kutumia vifaru kwa raia wake.

Mungu ibariki Afrika.

==========

Kampala. With voting still continuing in many parts of Uganda, Vice President Edward Kiwanuka Ssekandi became first casualties as 10 senior government officials fell by the wayside.

Kiwanuka, who has been the Vice President for the last two terms of President Yoweri Museveni’s presidency, was trounced by the National Unity Platform wave under Robert Kyangulani popularly known as Bobi Wine that swept central Uganda.

Trade Minister Amelia Chambade has also lost her seat in the hotly-contested parliamentary elections.

Cabinet Ministers Judith Nabakoba (ICT), Christom Muyingo (Higher Education), Erioda Tumwesingye (Science and Technology), Betty Kamya (Lands), Rosemary Sseninde (Primary Education), Isaac Musumba (Urban planning) and Florence Nachiwala (Youth Affairs) have all lost.

Government Chief Whip Nakabirwa Ruth has also been floored in the just-concluded elections.

Bobi Wine and his NUP party appear to be doing well in Central Uganda while President Museveni has held on to his Northern and Western strongholds.

Uganda’s President Yoweri Museveni took an early lead in the presidential election race, according to preliminary results released on Friday morning by the electoral commission.

His rival Bobi Wine, however, disputed the results, claiming there was widespread rigging and election irregularities in the polls.

Giants fall as vote counting continues in Uganda - The Citizen
 
Umejitahidi sana safar hii hujaitaja bongo moja kwa moja japo kaunafiki kidogo kinaonekana ulipotamka mataifa mawili. Congole japo najua hujapata ile raha unayokuwaga nayo unapoitakia mabaya. Unaanza kupata akili taratibu
Hakika Mungu mkubwa, jamaa anakua now.
 
Umejitahidi sana safar hii hujaitaja bongo moja kwa moja japo kaunafiki kidogo kinaonekana ulipotamka mataifa mawili. Congole japo najua hujapata ile raha unayokuwaga nayo unapoitakia mabaya. Unaanza kupata akili taratibu

Bongo kuna nini kilichosalia cha kutajwa huko, mlishaharibu kupita maelezo, upinzani umefutwa wote na viongozi wakaitoroka nchi, aisei nyie huko hata kupoteza muda kuwataja ni kujihangaisha bure, mlishakalia kuti kavu na kudondoka kabisa.

Naona mumekumbatia ukabila tena bila aibu, maendeleo yote mnayapeleka kwa kabila moja, jameni mumezidi hata mataifa ambayo huwa na changamoto za ukabila, huwa hayapo hivyo yaani inapaswa ukipeleka maendeleo kwa kabila lako unafanya kimya kimya na kwa namna fulani sio unaanika kila kitu kibabe babe halafu mataga wanasifia tu, utakuta hata mataga wa Kigoma kule ambao hata barabara ni changamoto ila wanasifia tu kisa wanapewa buku saba za Lumumba.
 
Ukweli mtupu umetuachia uchi yaani hii ndio halihalisi. Tunatia huruma
 
Bongo kuna nini kilichosalia cha kutajwa huko, mlishaharibu kupita maelezo, upinzani umefutwa wote na viongozi wakaitoroka nchi, aisei nyie huko hata kupoteza muda kuwataja ni kujihangaisha bure, mlishakalia kuti kavu na kudondoka kabisa.

Naona mumekumbatia ukabila tena bila aibu, maendeleo yote mnayapeleka kwa kabila moja, jameni mumezidi hata mataifa ambayo huwa na changamoto za ukabila, huwa hayapo hivyo yaani inapaswa ukipeleka maendeleo kwa kabila lako unafanya kimya kimya na kwa namna fulani sio unaanika kila kitu kibabe babe halafu mataga wanasifia tu, utakuta hata mataga wa Kigoma kule ambao hata barabara ni changamoto ila wanasifia tu kisa wanapewa buku saba za Lumumba.
Umetuponda

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hajatuponda,ndio ukweli wenyewe huo,afadhali yeye anatusema kwakuwa anatukuwa inside out watu toka mbali haswa waafrika hawaijui what's going on in our fucking country,ndio unaona anashindanishwa kuwa kiongozi bora,which he didn't deserve that at all.

Kosa letu sisi Ujamaa umetuharibu ndio maana Magufuli anatugeuza atakavo kama samaki ktk kikaango..nchi zote za kijamaa mijutu yake ipo hivi kama mikondoo nenda Hungary Noth Korean nk.
 
Umejitahidi sana safar hii hujaitaja bongo moja kwa moja japo kaunafiki kidogo kinaonekana ulipotamka mataifa mawili. Congole japo najua hujapata ile raha unayokuwaga nayo unapoitakia mabaya. Unaanza kupata akili taratibu
Jamaa huwa namuelewa sana. Anapoiongelea bongo huwa anaongea ukweli mtupu, japo tunajifanya tumeziba masikio.
 
Upinzani wa Uganda walitaka rais wa Kizazi kipya lakini bahati haikua kwao.

Pongezi kwa Kaguta
 
Back
Top Bottom