Kuna kila dalili Samia Suluhu atakuwa Rais wa muhula mmoja pekee, dalili hizo ni hizi...

Ukweli ni kwamba ili mama adumu inatakiwa atembelee upepo wa magufuli.Akija na ajenda zake mpya ambazo ni kinzani na za hayati JPM,hata hii miaka minne hatatoboa.

Dr mpango jana kasema "wananchi wengi walijitokeza kumuagaw hayati, Airport walivunja mageti na boda boda kibao kule Dododoma kwa. Sababu alikuwa mtetezi wao,wananchi hao wanategemea warithi wa JPM wayaishi maono yake,ikiwa kinyume wanachi hao hawataelewa"
 
Namba Tatu...

Hakuna Rais wa hivi Karibuni atatoka nje ya kivuli cha Magufuli...

Na Yawezekana Serikali baada ya hii ya Samia, ikatolewa na Wananchi au Jeshi... Kifo cha Magufuli kimeonesha watu wanaweza Kuvunja wageti na milango inayolindwa na Polisi
Ninachokiona, ni kama vile tayari kuna ufa kati ya CCM na JWTZ, na ile kauli ya mkuu wa majeshi na ya mama Samia kusema kuwa alisemimama hapa ni Rais, inaashiria kuwa ndani ya CCM kulikuwa na mchakato wa kutaka kuivunja katiba ili Samia asiwe rais na JWTZ kuilinda katiba na Mama.

Ah wacha tuone 2025 itakuaje.
 
Naomba kumshauri Rais watu mpendwa mama yetu Samia Suluhu Hassan kuwa asimamie kwa dhati hotuba yake kwa Taifa wakati anatangaza kifo cha Mwendazake JPM. Ni hivi:
1. Alisema tufungue ukurasa mpya katika utawala na uongozi wa nchi yetu kwa Kufutana machozi. Naomba amwone kila anayelia na kumuuliza ni nini kinamliza na atafute suluhu ya kilio hicho. Huyu anayelia aweza kuwa mtu binafsi, kundi fulani au jamii fulani.
2. Alisema ni kipindi cha kushikamana. Amwangalie kila ambaye hajanyosha mkono kushikamana na kumuuliza ni nini ninasababisha auvute nyuma mkono wake na kisha atafute suluhu ya tatizo hilo.
3. Alisema ni kipindi cha kutazama mbele kwa matumaini na siyo kwa kukata tamaa. Amtafute huyu asiyeangalia mbele na kuulizwa kwa nini amejiinania chini kwa kukata tamaa na atafute suluhu.
4. Alisema siyo kipindi cha kunyoosheana vidole bali kujenga nchi kwa pamoja. Amtafute na kumuuliza kila anayenyosha kidole na kuuliza kwa nini unamnyoshea kidole huyu auyule mtu na suluhu ipatikane
5. Alisema tusiangalie ya nyuma. Tafuta huyo anayeangalia nyuma na aulizwe kwani huko nyuma unakoangalia kuna nini na suluhu ipatikane.

Hapo kwa kweli huyu Rais wetu atakuwa ni Smia Suluhu Hassan
 
Nnilikuwa najiuliza hili swali nikawa sina uhakika, ila kwa sasa kutokana na mambo yanavyoenda inaonekana wazi kuwa huyu mama atakuwa Rais kwa muhula mmoja tu

Kwanza kabisa siasa sio Sayansi, haina exact jibu, upo upande ambao unaweza kutengeneza hoja Samia akawa rais wa vipindi viwili na pia upo upande unaweza kutengeneza hoja pia Samia akawa Rais wa muhula mmoja tu na waote wakaonekana sahahihi.

Samia Suluhu kama ana nafasi kubwa ya ku influence na kutengeneza hoja apewe mihula miwili lakini naona hilo ni ngumu kwa sababu hizi

Kwanza Serikali yake bado inaitwa Serikali ya awamu ya tano, nikisikia wabunge na watu wengine wa siasa wakiongea bado wanaiita hii serikali ya awamu ya tano, hili halina jibu sahihi kama ni ya 5 au 6 lakini Samia anaweza ku influence ianze kuitwa awamu ya 6, kwa kuwa kuendelea kuitwa awamu ya 5 kunatengeneza picha kuwa anamalizia ngwe ya Magufuli na sio kuwa anaanza ya kwake.

Pili anaonekana hana ujasiri wa kulivunja baraza la mawaziri, japo kuna utata kuhusu katiba kama inataka ama haija lazimisha, lakini Samia ana discretion ya kuvunja baraza la mawaziri na ikajengwa hoja tu kuwa uamuzi wake ni sahihi, hii itamfanya aweke watu wake ambao ambao ni watiifu kwake na hata kama atabakisha wale wa Magufuli pia sio mbaya kwa kuwa pia anaendeleza miradi ya mtangulizi wake

Tatu vyombo vya habari hasa TBC vinamfanya Samia aendelee kuwa kwenye kivuli ha Magufuli, TBC wao kutwa nzima, taarifa za habari kwa sasa ni Magufuli, hatukatai ni kuwa wanaomboleza lakini pia yapo mambo ya mama ambayo anayafanya yanatakiwa yapewe kipaumble na kuanza kupewa airtime, mfano ripoti ya CAG na maamuzi ya Samia aliyochukua yamepewa nafasi kidogo sana pale TBC, wao wanarudia hotuba za Magufuli tu, hawarudii kabisa hotub za Samia, sasa hili Rais mpya anatakiwa aliondoe endapo atataka awe rais wa mihula miwili na kuacha legacy yake na sio kuwa place holder president

Ni wapi Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan alishatangaza kuwa alikuwa na nia ya kuwa Rais wa Tanzania au hata baada ya Kuokota hivi Embe Dodo na kuwa Rais amesema kuwa ameshaionja Asali Tamu ya Ikulu na Urais hivyo baada ya 2025 angependa kuendelea kuwa Rais?

Ukipitia Threads za Watu ( baadhi ) hapa JF na hasa Ujengaji wao pia wa Hoja utagundua ya kwamba Elimu ya Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni imezalisha na inaendelea Kuzalisha Watu Wapuuzi ( Mahayawani ) wa Kifikra watupu tu. Tunachojua ni Kuzusha 24/7.
 
Ukweli ni kwamba ili mama adumu inatakiwa atembelee upepo wa magufuli.Akija na ajenda zake mpya ambazo ni kinzani na za hayati JPM,hata hii miaka minne hatatoboa.

Dr mpango jana kasema "wananchi wengi walijitokeza kumuagaw hayati, Airport walivunja mageti na boda boda kibao kule Dododoma kwa. Sababu alikuwa mtetezi wao,wananchi hao wanategemea warithi wa JPM wayaishi maono yake,ikiwa kinyume wanachi hao hawataelewa"
Huyo atakuwa aliahidiwa jina lake kwenye ndege mojapo.
Wananchi gani wanaowazungumzia??
Hivi Mwinyi angeendeleza vya Nyerere?? Tungalikuwa hapa??

Mama Raisi nafikiri kamtoa kwa makusudi na kumpa uVP, ili amuweke mtu wake Wizara ya Fedha atakayemmudu, huyu pro Magufuli ndiyo mbunifu wa kodi mpaka za kichwa, angemsumbua.
Wanyonge wanaohakikisha wanazidi kuwa maskini ili wawe, hawana jinsi zaidi ya kukubali kutawaliwa kibwege.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Ukweli ni kwamba ili mama adumu inatakiwa atembelee upepo wa magufuli.Akija na ajenda zake mpya ambazo ni kinzani na za hayati JPM,hata hii miaka minne hatatoboa.

Dr mpango jana kasema "wananchi wengi walijitokeza kumuagaw hayati, Airport walivunja mageti na boda boda kibao kule Dododoma kwa. Sababu alikuwa mtetezi wao,wananchi hao wanategemea warithi wa JPM wayaishi maono yake,ikiwa kinyume wanachi hao hawataelewa"
Nadhani ni vema akachagua na aina ya huo upepo. Upepo mwingine wala sio wa kutembelea aisee.
 
Samia Suluhu ni Rais wa sita katika awamu ya tano,kwani Urais wake unamalizia kipindi kilichobakishwa na JPM.
 
Nnilikuwa najiuliza hili swali nikawa sina uhakika, ila kwa sasa kutokana na mambo yanavyoenda inaonekana wazi kuwa huyu mama atakuwa Rais kwa muhula mmoja tu

Kwanza kabisa siasa sio Sayansi, haina exact jibu, upo upande ambao unaweza kutengeneza hoja Samia akawa rais wa vipindi viwili na pia upo upande unaweza kutengeneza hoja pia Samia akawa Rais wa muhula mmoja tu na waote wakaonekana sahahihi.

Samia Suluhu kama ana nafasi kubwa ya ku influence na kutengeneza hoja apewe mihula miwili lakini naona hilo ni ngumu kwa sababu hizi

Kwanza Serikali yake bado inaitwa Serikali ya awamu ya tano, nikisikia wabunge na watu wengine wa siasa wakiongea bado wanaiita hii serikali ya awamu ya tano, hili halina jibu sahihi kama ni ya 5 au 6 lakini Samia anaweza ku influence ianze kuitwa awamu ya 6, kwa kuwa kuendelea kuitwa awamu ya 5 kunatengeneza picha kuwa anamalizia ngwe ya Magufuli na sio kuwa anaanza ya kwake.

Pili anaonekana hana ujasiri wa kulivunja baraza la mawaziri, japo kuna utata kuhusu katiba kama inataka ama haija lazimisha, lakini Samia ana discretion ya kuvunja baraza la mawaziri na ikajengwa hoja tu kuwa uamuzi wake ni sahihi, hii itamfanya aweke watu wake ambao ambao ni watiifu kwake na hata kama atabakisha wale wa Magufuli pia sio mbaya kwa kuwa pia anaendeleza miradi ya mtangulizi wake

Tatu vyombo vya habari hasa TBC vinamfanya Samia aendelee kuwa kwenye kivuli ha Magufuli, TBC wao kutwa nzima, taarifa za habari kwa sasa ni Magufuli, hatukatai ni kuwa wanaomboleza lakini pia yapo mambo ya mama ambayo anayafanya yanatakiwa yapewe kipaumble na kuanza kupewa airtime, mfano ripoti ya CAG na maamuzi ya Samia aliyochukua yamepewa nafasi kidogo sana pale TBC, wao wanarudia hotuba za Magufuli tu, hawarudii kabisa hotub za Samia, sasa hili Rais mpya anatakiwa aliondoe endapo atataka awe rais wa mihula miwili na kuacha legacy yake na sio kuwa place holder president
Sasa kwani tatizo ni nini? Kwani katiba inasema kuwa kila raisi ni lazima aongeze mihula miwili au inasema kuwa raisi anatakiwa kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano? Ninavyofahamu mimi ni kuwa Raisi anapochaguliwa anatakiwa kuongoza kwa miaka mitano, na anaruhusiwa kugombea urais kwa mihula miwili. Hii haimaanishi kuwa ni lazima aongoze kwa mihula miwili.
 
Mkuu, jamaa ana point ya msingi. Kama asipojijenga mapema na kuanza kuonyesha uwezo wake kwa kujifanyia mambo yake mwenyewe huko mbele itamuwia vigumu.

Hiki kitendo cha kuendelea kuwapiga chini Wafia chama na kubeba Wakuja lazima kitakuja kuwa mwiba huko mbeleni. Kuna kila possibility that 2025 kuna kundi litaibuka litadai kuwa yeye hakuwa chaguo la Chama bali Muendazake.

Kwa kutumia hiyo point, itabidi apambanishwe na wengine ila kama hili litatokea natabiri mgawanyiko mkubwa ambao haujawahi kutokea CCM.
Umeona mbali Sana achague pia wazoefu wa chama, mwendazake jiwe aliwadharau wazoefu wa chama na nchi akawa anajifanyia Mambo yake tu, matokeo yake tumeona uongozi wake, kawa Raisi wa kwanza kufia madarakani. Samia atafte ccm wazoefu wamsaidie kiushauri pia hii kubeba wasio wazoefu na kushindwa kula na kipofu itamu cost huko ccm Kuna wakwamishaji hatari
 
Namba Tatu...

Hakuna Rais wa hivi Karibuni atatoka nje ya kivuli cha Magufuli...

Na Yawezekana Serikali baada ya hii ya Samia, ikatolewa na Wananchi au Jeshi... Kifo cha Magufuli kimeonesha watu wanaweza Kuvunja wageti na milango inayolindwa na Polisi
haitokaa itokee maisha yako. sababu ya kuvunja mageti kuingia uwanja wa ndege unadhani wanaweza ku rebel against the goverment?

all forces zilikuwa pamoja na wananchi kwenye msiba. ndio maana hakuna tear gas or live round ilitumika.

lakin with exception watanzania hawa haswa wa kipindi hiki. Ni waoga kupitiliza tena wakijarib kuandamana polisi wakichimba biti hatokei hata mmoja.
hakuna atakae pindua serikali hii. hayupo. labda cdf aamue kwenye akili yake mwenyewe.
 
Duh mbona mapema sana
Hebu mwacheni mama yetu
Aendeshe nchi

Ova
 
Nnilikuwa najiuliza hili swali nikawa sina uhakika, ila kwa sasa kutokana na mambo yanavyoenda inaonekana wazi kuwa huyu mama atakuwa Rais kwa muhula mmoja tu

Kwanza kabisa siasa sio Sayansi, haina exact jibu, upo upande ambao unaweza kutengeneza hoja Samia akawa rais wa vipindi viwili na pia upo upande unaweza kutengeneza hoja pia Samia akawa Rais wa muhula mmoja tu na waote wakaonekana sahahihi.

Samia Suluhu kama ana nafasi kubwa ya ku influence na kutengeneza hoja apewe mihula miwili lakini naona hilo ni ngumu kwa sababu hizi

Kwanza Serikali yake bado inaitwa Serikali ya awamu ya tano, nikisikia wabunge na watu wengine wa siasa wakiongea bado wanaiita hii serikali ya awamu ya tano, hili halina jibu sahihi kama ni ya 5 au 6 lakini Samia anaweza ku influence ianze kuitwa awamu ya 6, kwa kuwa kuendelea kuitwa awamu ya 5 kunatengeneza picha kuwa anamalizia ngwe ya Magufuli na sio kuwa anaanza ya kwake.

Pili anaonekana hana ujasiri wa kulivunja baraza la mawaziri, japo kuna utata kuhusu katiba kama inataka ama haija lazimisha, lakini Samia ana discretion ya kuvunja baraza la mawaziri na ikajengwa hoja tu kuwa uamuzi wake ni sahihi, hii itamfanya aweke watu wake ambao ambao ni watiifu kwake na hata kama atabakisha wale wa Magufuli pia sio mbaya kwa kuwa pia anaendeleza miradi ya mtangulizi wake

Tatu vyombo vya habari hasa TBC vinamfanya Samia aendelee kuwa kwenye kivuli ha Magufuli, TBC wao kutwa nzima, taarifa za habari kwa sasa ni Magufuli, hatukatai ni kuwa wanaomboleza lakini pia yapo mambo ya mama ambayo anayafanya yanatakiwa yapewe kipaumble na kuanza kupewa airtime, mfano ripoti ya CAG na maamuzi ya Samia aliyochukua yamepewa nafasi kidogo sana pale TBC, wao wanarudia hotuba za Magufuli tu, hawarudii kabisa hotub za Samia, sasa hili Rais mpya anatakiwa aliondoe endapo atataka awe rais wa mihula miwili na kuacha legacy yake na sio kuwa place holder president
Sitaki kuingia kwenye majina ya AWAMU, ila kwa hesabu ya kawaida tu ni kuwa hii ni Serikali ya AWAMU YA TANO, kwa maana kuwa CCM tumekuwa na utaratibu wa kuwapa Marais wetu, kuanzia Awamu ya Mzee Mwinyi, hadi leo, miaka kmi ambayo ni sawa na AWAMU MOJA. Hii ya Rais Samia Suluhu Hassani ni MUHULA WA PILI WA AWAMU YA TANO.

Kuhusu sababu yako ya kwanza kwa nini HUDHANI kuwa Rais Samia Suluhu Hassani atapata eti kwa sababu bado Serikali yake inaitwa AWAMU YA tano, nadhani nimelielezea hapo juu. Pia jina si hoja hapa, hoja hapa ni namna alivyoingia madarakani. Juu ya hoja ya tatu eti ni kwa sababu hana ujasiri wa kuvunja Baraza hili la Mawaziri la Hayati Rais Magufuli na KUUNDA LA KWAKE, hivyo UNADHANI HAWEZI KUPATA AWAMU YAKE MWENYEWE YA SITA, sidhani kama hii sababu ina uzito kihiiivyo. Kufanya hayo kwenye Baraza la Mawaziri ni suala la utashi tu wa Rais mwenyewe; kwani sijui kama tafsiri zinazotolewa za vifungu vya ni SAHIHI SANA, hasa hasa ukizingatia kuwa viongozowa juu mara nyingi huwa wanashauriana wakati wa kuunda haya Mabaraza, hivyo ku - assume kuwa aliafikiana na huo uteuzi, SIYO VIBAYA. Pia tukiwaza, kinadharia tu, kuwa, anaweza kulivunja leo 31/03/2021 saa kumi jioni na kesho saa sita mchana AKACHAGUA LAKE, lenye sura na watu wale wale kwenye nafasi ZILE ZILE na kuwaapisha saa kumi jioni! JE ATAKUWA AMEKIDHI MATAKWA YENU NA YA KATIBA KAMA MNAVYOTAKA NA KUSHAURI NA HIVYO KUJIHARARISHIA AWAMU YAKE YA SITA? Kwendeni sasa kwa HOJA NZITO!
 
Aliyekwenda kaenda, waachane na hiyo hulka ya upuuzi wa kutaka kuenzi mwendazake, watu watawachoka na kuwaona hawafai, kiongozi yoyote, asiye na vision yake binafsi ni mfu.

Nimeona huyo VP mpya anasema wapinzani wajiunge na CCM, nikahisi mama Rais, kabugi kashaurika na kushawishika vibaya.
Kuna mambo mengi nchi hii ya kuzungumziwa, yaani Mpango anataka kutembelea mule mule mwa marehemu, anajimwambafayi kama mwendazake, na pia huko bungeni wapinzani ni wachache, sijui wapinzani wapi aliowazungumzia??

Labda kama ilikuwa strategic move kumtoa pale wizara nyeti ya fedha, ili aanze na waziri wake mwenye maono yatakayokuwa yanaendana na yeye kama raisi wake.
Bajeti itakayokuja itatupa maono yake.

Everyday is Saturday............................... :cool:
Huyo mpango ana mawazo ya jiwe na kuminya Uhuru wa watu sasa hao wapinzani wakienda ccm, Nini kimebadilika maana Bado anaishi era za jiwe ambazo raia walizichoka kabisa Mambo ya u dictator tu.
Hafu mama samia avae viatu vyake kuvaa vya jiwe ni kujipiteza, pia ao anao waona threat awaweke close watamsaidia kuliko hao asiowaogopa, na it's obvious ukitaka mbwa asikubwekee mrushie nyama au mfupa.
 
Kwanza TBC wanaweza pewa amri Tu siku moja ..done

Mengineyo yote ni too early Rais Hana hata wiki mbili
Wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani, waswahili walisema.

Samia hatakua na Jipya. Na alipo hana vision yoyote. Bora kumekucha tumalizie mitano kumuenzi Jiwe.

Wabunge wavunja katiba bado wako bungeni kinyume.

Masheikh wako mahabusu.

Wamekufa watu 45 taifa kama hakijatokea kitu yaani.

Lundo LA watu anakomaa nao bado bado boss wao ni Magu, japo hayupo.

Mambo ya Coronavirus bado ni kupuyanga tu kama Jiwe.

Baada ya miezi 2 hata huyo mwizi wa bandari hutasikia kesi yoyote.

Mpango kutoka Wizara ya fedha kawa Vp, Dotto naye aachwe hazina. Yule mwizi huko bandari naye aachwe tu achape kazi kweriiii kweriiii
 
Samia anaweza ku influence ianze kuitwa awamu ya 6, kwa kuwa kuendelea kuitwa awamu ya 5 kunatengeneza picha kuwa anamalizia ngwe ya Magufuli na sio kuwa anaanza ya kwake.

Kwahiyo umeshindwa kutumia akili ndogo tu, Ili kujua kuwa ni kweli Samia anamalizia ngwe ya Magufuli?
 
CCM ni majitu ya ajabu sana. Huyu mama kila anachofanya wanasema ni kazi ya Magufuli huyu anafuata nyayo tu. Anatekeleza tu.
Binafsi natamani sasa aanze kuibwa na kutajwa Samia. yeye mwenyewe samia asipojitetea ataendelea kuonekana ndani ya kivuli cha Magufuli. Ajipambanue kuwa yeye sasa ni Rais kamili na hajamshikia mtu hicho kiti. yaani sasa hivi anaonekana kama vile anatumwa tu na "Magufuli" kwamba fanya hiki, fanye kile. Hii hatumtendei haki kabisa.
Na hata wabunge kila mda magufuli kah akiwa mwenyekiti awachimbe biti na kufunga kabisa habari za mwendazake na mapambio yeye ni Raisi kwa sasa
 
Sitaki kuingia kwenye majina ya AWAMU, ila kwa hesabu ya kawaida tu ni kuwa hii ni Serikali ya AWAMU YA TANO, kwa maana kuwa CCM tumekuwa na utaratibu wa kuwapa Marais wetu, kuanzia Awamu ya Mzee Mwinyi, hadi leo, miaka kmi ambayo ni sawa na AWAMU MOJA. Hii ya Rais Samia Suluhu Hassani ni MUHULA WA PILI WA AWAMU YA TANO.

Kuhusu sababu yako ya kwanza kwa nini HUDHANI kuwa Rais Samia Suluhu Hassani atapata eti kwa sababu bado Serikali yake inaitwa AWAMU YA tano, nadhani nimelielezea hapo juu. Pia jina si hoja hapa, hoja hapa ni namna alivyoingia madarakani. Juu ya hoja ya tatu eti ni kwa sababu hana ujasiri wa kuvunja Baraza hili la Mawaziri la Hayati Rais Magufuli na KUUNDA LA KWAKE, hivyo UNADHANI HAWEZI KUPATA AWAMU YAKE MWENYEWE YA SITA, sidhani kama hii sababu ina uzito kihiiivyo. Kufanya hayo kwenye Baraza la Mawaziri ni suala la utashi tu wa Rais mwenyewe; kwani sijui kama tafsiri zinazotolewa za vifungu vya ni SAHIHI SANA, hasa hasa ukizingatia kuwa viongozowa juu mara nyingi huwa wanashauriana wakati wa kuunda haya Mabaraza, hivyo ku - assume kuwa aliafikiana na huo uteuzi, SIYO VIBAYA. Pia tukiwaza, kinadharia tu, kuwa, anaweza kulivunja leo 31/03/2021 saa kumi jioni na kesho saa sita mchana AKACHAGUA LAKE, lenye sura na watu wale wale kwenye nafasi ZILE ZILE na kuwaapisha saa kumi jioni! JE ATAKUWA AMEKIDHI MATAKWA YENU NA YA KATIBA KAMA MNAVYOTAKA NA KUSHAURI NA HIVYO KUJIHARARISHIA AWAMU YAKE YA SITA? Kwendeni sasa kwa HOJA NZITO!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom