Uchaguzi 2020 Kuna kila dalili mwaka huu CCM inatoka madarakani

Tila-lila2

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
653
1,058
Wananchi wetu ni wanafiki sana. WanaCCM ni wanafiki zaidi. Yaani ukiangalia tu watu wanavyoshangilia kwenye Mikutano ya CCM - watu wamechoka yaani wanalazimisha hivi. Clip zilizotoka na hata leo kwenye lile tukio la Mgombea wao kurudisha fomu chamani hakukuwa kabisa na nyuso zenye furaha. Viongozi waliopewa nafasi kutoa neno asilimia 30 tu ndiyo waliongea kwa kujiamini na kwa kufuata utamaduni wa kichama. Wengine wote walikuwa bariiiidiiiiii. Kumbuka kuwa Magu hujifanya hataki mbwe-mbwe lakini anazipenda sana mbwe mbwe na ndiyo maana kuna matukioa anapiga push -up, anapiga ngoma, anaimba, nk. Mwaka 2015 husemwa kuwa alienda kuchukua fomu ya Urais bila mbwe mbwe - hiyo ni kweli kwa sababu hakutarajia kuwa angeshinda na ndiyo maana lile tukio alienda kinyonge kati ya wababe.

Kumbuka hata humu JF hata leo ukiweka thread ya kuwapigisha kura kati ya Magu na Lissu au mtu mwingine yeyote CCM hufanya mawasiliano na moderators faster kuondosha thread hizo. Huo pia ni unafiki walionao CCM kwa sababu hawapendi kabisa kuoneshwa kuwa mgombea wao anazidiwa kwa kura. Kama nimeandika uwongo kwa hili basi mtu yeyote humu aanzish hiyo thread kama ataiona inadumu kwa hata saa moja tu.

Juzi juzi pia kwenye kikao chao cha Kamati Kuu Katibu Mkuu wao ndiyo alionekana kujichezesha zaidi ili kuwachangamsha wajumbe lakini wajumbe walikuwa wanaimba kufuatilia wimbo uliokuwa ukichezwa kwenye system hukuwakiwa hawana furaha kabisa na mwishowe walimcheka Dr Bashiru alipokuwa akiruka ruka kumfurahisha Magu.

Sasa ukiangalia sasa chamani, Magu anataka wagombea wale wanyonge wanyonge ambao hawawezi kuja kumpinga ili ahata atapotoka madarakani aweke watu wake kama kina Doto James - ambaye inasemekana atateuliwa kuwa Waziri awamu ijayo kwa sababu ya fedha amabazo ameshazitenga kufanikisha ushindi mwaka huu. Kalemani ameahidiwa Uwaziri Mkuu na Kabudi kishaambiwa atakuwa Rais.

CCM inaenda kushindwa kwa sababu watu wana machungu ya ndani kwa ndani. Ninaandika hivi nikiwa Dodoma kwani mimi ni kiongozi pia ndani ya CCM na tangu juzi nimekutana na Wenyeviti wa CCM zaidi ya kumi. Ninawahakikishia kwa pembeni hawa watu wanamsema vibaya sana sana Mkulu. sitaki kuwataja hao wenyeviti wa CCM ili nisiwagombanishe lakini ukweli wanaCCM wanagugumia machunu sana mioyoni mwao. Hali wala sio shwari kama ambavyo inafikirika. Pamoja na kupewa kiasi cha fedha hao viongozi hawana furaha kabisa.

Wengi wanaponda sana utaratibu wa kuzuia baadhi ya watu wasiogombee na pia hawana furaha kutoka ana wavamizi wa kutoka vyama vya upinzani kuhakikishiwa nafasi ya kugombea na kupewa ushindi wa kibabe. Kuna kikao kimejadili namna ubabe utavyotumika kwenye Uchaguzi na kuna kiongozi ambaye amelaumiwa kuwasiliana na upinzani na kueleza kila kitu kwa ajili ya kuwaandaa kupokea mafuriko kutoka CCM. Kuna watu hawatakiwa kabisa kugombea ambao mojawapo ni Nape na Januari. Kuna watu ambao wamekuwa wakifuatiliwa kwa sababu wanawasiliana na kwa karibu na Membe.

Kama jana kuna wanaCCM wamesema kuna hatari chuki kubwa imeshajengwa miongon mwa watawala hawa na upinzani na hivyo upinzania ukishinda viongozi hawa watakuwa mashakani kwani mfano mzuri tayari umeonakena huko Malawi baada ya Rais wa sasa kuondosha kinga ya kuwashatki watangulizi wake.

CCM wenyewe wanakiri kuwa sera ya kujinadi kuwa wamejenga mamiundo mbinu na kununua midege ni sera inayopingwa kwa hoja rahisi sana sana kwa sababu hayo mamiundombinu hayana impact yeyote kwa wananchi wa kawaida. Jambo ambapo limefanywa na utawala huu ambalo linawasaidia kwenye Kampeni ni lile tu la kuondosha karo za shule za msingi hadi sekondari. Wengine wanaongea zaidi kuwa upinzani ukiahidi kuondosha karo hizo hadi shule za sekondari za juu na pia kutangaza kupunguza makato kwa ajili ya bodi ya mikopo na kuwasaidia punguzo wakulima kwa pembejeo za kilimo na kuwakopesha wakiwa wamesaidiwa "subsidies" karibu na bure itawaondoa CCM madarakani. CCM kwa sasa hawawezi kurudia ahadi zile zile wakaeleweka, mfano ahadi ya kutoa milioni hamsini kila kijiji iliwasaidia sana kupata ushindi mwaka 2015. Upinzani wakisema wakiahidi wao na wakasema upinzani tutatekeleza ahadhi hiyo kwa vitendo wataeleweka kwa urahisi kuliko CCM wakifanya kurudia ahadi ambayo wameshindwa kuitekeleza.

Lakini pia upinzani unaendelea kufuatilia kwa karibu kampeni ambazo CCM imeshaanza kuzifanya na kuna watu wanakusanya Ushahidi ambao utatumika wakati wa kupinga matokeo ya Uchaguzi iwapo CCM itashinda. Kuna matukio ya wazi ambayo yanaonesha kuwa CCM imeanza kampeni na kujisema itashinda yanarekodiwa kwa umakini na yanatunzwa ili yaje yatumike. Wapinzani kwa kujua kuwa media kama TV na redio zimewageuka wanatumia sana online tv na makundi ya wahatsapp kujitangaza na ambayo kwa sasa yana athari kubwa zaidi kuliko TV na redio kwani wananchi wanasikiliza mahali popote. Mfano mzuri ni wale wasanii waliochukua maneno ya Bwege na kuyatengenezea muziki. Clips za hivyo zinahamasisha na kuleta hisia zaidi kuliko zile nyimbo za CCM zinazoonesha kuchokwa.

Sijui CCM wafanye nini kuwabadilisha wanachama wao na wananchi kwa ujumla, kwani watu hao hao wanatumika ndani ya CCM na ndiyo wanaotumika kwenye upinzani. Sitaki kuwataja lakini nina majina ya wapiga kura zaidi ya ishirini ambao watatumika kuwapitishwa wagombea wa nafasi mbalimbali ndani ya CCM na pia hao hao wana kadi za Act Wazalendo na CHADEMA na watatumika huko pia. Ni suala la muda tu na nani atawakosha zaidi wapiga kura. CCM sidhani kama itatoboa! Tusubiri tu muda umebaki kidogo sana!
 
Wananchi wetu ni wanafiki sana. WanaCCM ni wanafiki zaidi. Yaani ukiangalia tu watu wanavyoshangilia kwenye Mikutano ya CCM - watu wamechoka yaani wanalazimisha hivi. Clip zilizotoka na hata leo kwenye lile tukio la Mgombea wao kurudisha fomu chamani hakukuwa kabisa na nyuso zenye furaha. Viongozi waliopewa nafasi kutoa neno asilimia 30 tu ndiyo waliongea kwa kujiamini na kwa kufuata utamaduni wa kichama. Wengine wote walikuwa bariiiidiiiiii. Kumbuka kuwa Magu hujifanya hataki mbwe-mbwe lakini anazipenda sana mbwe mbwe na ndiyo maana kuna matukioa anapiga push -up, anapiga ngoma, anaimba, nk. Husemwa kuwa alienda kuchukua fomu ya Urais bila mbwe mbwe - hiyo ni kweli kwa sababu hakutarajia kuwa angeshinda na ndiyo maana lile tukio alienda kinyonge kati ya wababe.

Juzi juzi pia kwenye kikao chao cha Kamati Kuu Katibu Mkuu wao ndiyo alionekana kujichezesha zaidi ili kuwachangamsha wajumbe lakini wajumbe walikuwa wanaimba kufuatilia wimbo uliokuwa ukichezwa kwenye system hukuwakiwa hawana furaha kabisa na mwishowe walimcheka Dr Bashiru alipokuwa akiruka ruka kumfurahisha Magu.

Sasa ukiangalia sasa chamani, Magu anataka wagombea wale wanyonge wanyonge ambao hawawezi kuja kumpinga ili ahata atapotoka madarakani aweke watu wake kama kina Doto James - ambaye inasemekana atateuliwa kuwa Waziri awamu ijayo kwa sababu ya fedha amabazo ameshazitenga kufanikisha ushindi mwaka huu. Kalemani ameahidiwa Uwaziri Mkuu na Kabudi kishaambiwa atakuwa Rais.

CCM inaenda kushindwa kwa sababu watu wana machungu ya ndani kwa ndani. Ninaandika hivi nikiwa Dodoma kwani mimi ni kiongozi pia ndani ya CCM na tangu juzi nimekutana na Wenyeviti wa CCM zaidi ya kumi. Ninawahakikishia kwa pembeni hawa watu wanamsema vibaya sana sana Mkulu. sitaki kuwataja hao wenyeviti wa CCM ili nisiwagombanishe lakini ukweli wanaCCM wanagugumia machunu sana mioyoni mwao. Hali wala sio shwari kama ambavyo inafikirika. Pamoja na kupewa kiasi cha fedha hao viongozi hawana furaha kabisa.

Wengi wanaponda sana utaratibu wa kuzuia baadhi ya watu wasiogombee na pia hawana furaha kutoka ana wavamizi wa kutoka vyama vya upinzani kuhakikishiwa nafasi ya kugombea na kupewa ushindi wa kibabe. Kuna kikao kimejadili namna ubabe utavyotumika kwenye Uchaguzi na kuna kiongozi ambaye ameslaumiwa kuwasiliana na upinzani na kueleza kila kitu kwa ajili ya kuwaandaa kupokea mafuriko kutoka CCM. Kuna watu hawatkiwa kabisa kugombea ambao mojawapo ni Nape na Januari. Kuna watu ambao wamekuwa wakifuatiliwa kwa sababu wanawasiliana na kwa karibu na Membe.

Kama jana kuna wanaCCM wamesema kuna hatari chuki kubwa imeshajengwa miongon mwa watawala hawa na upinzani na hivyo upinzania ukishinda viongozi hawa watakuwa mashakani kwani mfano mzuri tayari umeonakena huko MAlawi baada ya Rais wa sasa kuondosha kinga ya kuwashatki watangulizi wake.

CCM wenyewe wanakiri kuwa sera ya kujinadi kuwa wamejenga mamiundo mbinu na kununua midege ni sera inayopingwa kwa hoja Rais sana sana kwa sababu hayo mamiundombinu hayana impact yeyote kwa wananchi wa kawaida. Jambo ambapo limefanywa na utawala huu ambalo linawasaidia kwenye Kampeni ni lile tu la kuondosha karo za shule za msingi hadi sekondari. Wengine wanaongea zaidi kuwa upinzani ukiahidi kuondosha karo hizo hadi shule za sekondari za juu na pia kutangaza kupunguza makato kwa ajili ya bodi ya mikopo na kuwasaidia punguzo wakulima kwa pembejeo za kilimo na kuwakopesha wakiwa wamesaidiwa "subsidies" karibu na bure itawaondoa CCM madarakani. CCM kwa sasa hawawezi kurudia ahadi zile zile wakaeleweka, mfano ahadi ya kutoa milioni hamsini kila kijiji iliwasaidia sana kupata ushindi mwaka 2015. Upinzani wakisema wakiahidi wao na wakasema CCM tutatekeleza ahadhi hiyo kwa vitendo wataeleweka kwa urahisi kuliko CCM.

Lakini pia upinzani unaendelea kufuatilia kwa karibu kampeni ambazo CCM imeshaanza kuzifanya na kuna watu wanakusanya Ushahidi ambao utatumika wakati wa kupinga matokeo ya Uchaguzi iwapo CCM itashinda. Kuna matukio ya wazi ambayo yanaonesha kuwa CCM itashinda yanarekodiwa kwa umakini na yanatunzwa ili yaje yatumike. Wapinzani kwa kujua kuwa media kama TV na redio zimewageuka wanatumia sana online tv na makundi ya wahatsapp kujitangaza na ambayo kwa sasa yana athari kubwa zaidi kuliko TV na redio kwani wananchi wanasikiliza mahali popote. Mfano mzuri ni wale wasanii waliochukua maneno ya Bwege na kuyatengenezea muziki. Clips za hivyo zinahamasisha na kuleta hisia zaidi kuliko zile nyimbo za CCM zinazoonesha kuchokwa.

Wengi hawaamini hili na hawajui litatokea vipi lakini subirini tu mtaona.
 
Umeongea ukweli mtupu mtoa mada..mimi nmekua na fuatilia sana wananchi ama viongozi Kiwango cha furaha mioyoni mwao kimepungua sana..ukiwangalia nyuso za wengi znasema kitu fulani!watu waliosoma sychology watanielewa!! Kipimo cha JPM ilikua kuruhusu wanaccm awaye yyte akachukue form halafu wakingia kwny kamati iamue!!Lakin imekua kinyume chake..
Kipimo cha kkubalika ndani ya Chama ni kuweka ushindani..Lakin hapa kuogopa mtu ushindani ni kuonyesha uogha na kushindwa!!CCM tuonyeshe ukomavu wa kidemokrsia turuhusu Vichwaa tofaut tofaut!!tuone
 
Wananchi wetu ni wanafiki sana. WanaCCM ni wanafiki zaidi. Yaani ukiangalia tu watu wanavyoshangilia kwenye Mikutano ya CCM - watu wamechoka yaani wanalazimisha hivi. Clip zilizotoka na hata leo kwenye lile tukio la Mgombea wao kurudisha fomu chamani hakukuwa kabisa na nyuso zenye furaha. Viongozi waliopewa nafasi kutoa neno asilimia 30 tu ndiyo waliongea kwa kujiamini na kwa kufuata utamaduni wa kichama. Wengine wote walikuwa bariiiidiiiiii. Kumbuka kuwa Magu hujifanya hataki mbwe-mbwe lakini anazipenda sana mbwe mbwe na ndiyo maana kuna matukioa anapiga push -up, anapiga ngoma, anaimba, nk. Husemwa kuwa alienda kuchukua fomu ya Urais bila mbwe mbwe - hiyo ni kweli kwa sababu hakutarajia kuwa angeshinda na ndiyo maana lile tukio alienda kinyonge kati ya wababe.

Juzi juzi pia kwenye kikao chao cha Kamati Kuu Katibu Mkuu wao ndiyo alionekana kujichezesha zaidi ili kuwachangamsha wajumbe lakini wajumbe walikuwa wanaimba kufuatilia wimbo uliokuwa ukichezwa kwenye system hukuwakiwa hawana furaha kabisa na mwishowe walimcheka Dr Bashiru alipokuwa akiruka ruka kumfurahisha Magu.

Sasa ukiangalia sasa chamani, Magu anataka wagombea wale wanyonge wanyonge ambao hawawezi kuja kumpinga ili ahata atapotoka madarakani aweke watu wake kama kina Doto James - ambaye inasemekana atateuliwa kuwa Waziri awamu ijayo kwa sababu ya fedha amabazo ameshazitenga kufanikisha ushindi mwaka huu. Kalemani ameahidiwa Uwaziri Mkuu na Kabudi kishaambiwa atakuwa Rais.

CCM inaenda kushindwa kwa sababu watu wana machungu ya ndani kwa ndani. Ninaandika hivi nikiwa Dodoma kwani mimi ni kiongozi pia ndani ya CCM na tangu juzi nimekutana na Wenyeviti wa CCM zaidi ya kumi. Ninawahakikishia kwa pembeni hawa watu wanamsema vibaya sana sana Mkulu. sitaki kuwataja hao wenyeviti wa CCM ili nisiwagombanishe lakini ukweli wanaCCM wanagugumia machunu sana mioyoni mwao. Hali wala sio shwari kama ambavyo inafikirika. Pamoja na kupewa kiasi cha fedha hao viongozi hawana furaha kabisa.

Wengi wanaponda sana utaratibu wa kuzuia baadhi ya watu wasiogombee na pia hawana furaha kutoka ana wavamizi wa kutoka vyama vya upinzani kuhakikishiwa nafasi ya kugombea na kupewa ushindi wa kibabe. Kuna kikao kimejadili namna ubabe utavyotumika kwenye Uchaguzi na kuna kiongozi ambaye ameslaumiwa kuwasiliana na upinzani na kueleza kila kitu kwa ajili ya kuwaandaa kupokea mafuriko kutoka CCM. Kuna watu hawatkiwa kabisa kugombea ambao mojawapo ni Nape na Januari. Kuna watu ambao wamekuwa wakifuatiliwa kwa sababu wanawasiliana na kwa karibu na Membe.

Kama jana kuna wanaCCM wamesema kuna hatari chuki kubwa imeshajengwa miongon mwa watawala hawa na upinzani na hivyo upinzania ukishinda viongozi hawa watakuwa mashakani kwani mfano mzuri tayari umeonakena huko MAlawi baada ya Rais wa sasa kuondosha kinga ya kuwashatki watangulizi wake.

CCM wenyewe wanakiri kuwa sera ya kujinadi kuwa wamejenga mamiundo mbinu na kununua midege ni sera inayopingwa kwa hoja Rais sana sana kwa sababu hayo mamiundombinu hayana impact yeyote kwa wananchi wa kawaida. Jambo ambapo limefanywa na utawala huu ambalo linawasaidia kwenye Kampeni ni lile tu la kuondosha karo za shule za msingi hadi sekondari. Wengine wanaongea zaidi kuwa upinzani ukiahidi kuondosha karo hizo hadi shule za sekondari za juu na pia kutangaza kupunguza makato kwa ajili ya bodi ya mikopo na kuwasaidia punguzo wakulima kwa pembejeo za kilimo na kuwakopesha wakiwa wamesaidiwa "subsidies" karibu na bure itawaondoa CCM madarakani. CCM kwa sasa hawawezi kurudia ahadi zile zile wakaeleweka, mfano ahadi ya kutoa milioni hamsini kila kijiji iliwasaidia sana kupata ushindi mwaka 2015. Upinzani wakisema wakiahidi wao na wakasema CCM tutatekeleza ahadhi hiyo kwa vitendo wataeleweka kwa urahisi kuliko CCM.

Lakini pia upinzani unaendelea kufuatilia kwa karibu kampeni ambazo CCM imeshaanza kuzifanya na kuna watu wanakusanya Ushahidi ambao utatumika wakati wa kupinga matokeo ya Uchaguzi iwapo CCM itashinda. Kuna matukio ya wazi ambayo yanaonesha kuwa CCM itashinda yanarekodiwa kwa umakini na yanatunzwa ili yaje yatumike. Wapinzani kwa kujua kuwa media kama TV na redio zimewageuka wanatumia sana online tv na makundi ya wahatsapp kujitangaza na ambayo kwa sasa yana athari kubwa zaidi kuliko TV na redio kwani wananchi wanasikiliza mahali popote. Mfano mzuri ni wale wasanii waliochukua maneno ya Bwege na kuyatengenezea muziki. Clips za hivyo zinahamasisha na kuleta hisia zaidi kuliko zile nyimbo za CCM zinazoonesha kuchokwa.

Sijui CCM wafanye nini kuwabadilisha wanachama wao na wananchi kwa ujumla, kwani watu hao hao wanatumika ndani ya CCM na ndiyo wanaotumika kwenye upinzani. Sitaki kuwataja lakini nina majina ya wapiga kura zaidi ya ishirini ambao watatumika kuwapitishwa wagombea wa nafasi mbalimbali ndani ya CCM na pia hao hao wana kadi za Act Wazalendo na CHADEMA na watatumika huko pia. Ni suala la muda tu na nani atawakosha zaidi wapiga kura. CCM sidhani kama itatoboa! Tusubiri tu muda umebaki kidogo sana!
Hata iweje mtu lazima awe sodomized.
 
Mkuu,

sinauhakika kwa uliyoongea lakini hiki chama kutoka madarakan ndani ya miaka hii 100 sizani, labda tusubiri baada ya miaka Mia
 
Hahaha duh hakuna kitu kama hicho
Labda uchaguzi uwe huru, polisi na vyombo vya ulinzi na usalama wakae pembeni

Ova
 
Labda kwa mtutu tena damu imwagike kweli kweli.
Hata yale mafuriko ya lowasa hii ndio kauli mbiu yenu. Na mtu wa kwanza aliejua hii mchi wanachukua ni pamoja na huyo huyo mbatia anaejipendekeza saa hivi hukohuko ccm ila siasa hizi jamanii!!
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom