Kuna kila dalili Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Ndugu Katambi kuwa Mbunge wa Shinyanga mjini

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Kwa inavyoelekea Masele hana chake tena pale!

Dogo kwa nguvu za Wakubwa anaelekea kuwa Mwakilishi wa Wananchi wa Jimbo lile.Katika viunga vya Shy town Jina Masele hawataki hata kulisikia na upepo mwanana umemwelekea bwana mdogo.

Juzi alifanya ziara na kutambulishwa rasmi kwa Wazee kuwa Yeye ndiye chaguo la....

Hongera Katambi!
 
kuna majimbo yapo wazi ilhali kuna wabunge, jimbo la hai, iringa, mbeya, mikumi, kawe, arusha, tarime yapo wazi. kama katambi anahitaji ubunge awekeze nguvu zake huko
 
Mwambieni akarekebishe lile domo lake na meno!! Anatia kichefu chefu akiongea
Kwa inavyoelekea Masele hana chake tena pale!

Dogo kwa nguvu za Wakubwa anaelekea kuwa Mwakilishi wa Wananchi wa Jimbo lile.Katika viunga vya Shy town Jina Masele hawataki hata kulisikia na upepo mwanana umemwelekea bwana mdogo.

Juzi alifanya ziara na kutambulishwa rasmi kwa Wazee kuwa Yeye ndiye chaguo la....

Hongera Katambi!
 
Hahaha kwani ubunge ni ugonjwa?! Hakuna dalili za kuwa mbunge wa kuchaguliwa, labda aendelee kuwa viti maalum..
Ubunge, uombe chamani, upitishwe, ugombee kwa kufanya kampeni hadi utangazwe mshindi, hizo siyo dalili hivyo nu vitendo vya wazi. Labda ungesema anagombea jimbo la sindida mashariki na anapita bila kupingwa.
 
Hakuna mtu wa kumchagua katambi maana wana wa shinyanga tunayajua mengi ya huyo dogo
Kwa inavyoelekea Masele hana chake tena pale!

Dogo kwa nguvu za Wakubwa anaelekea kuwa Mwakilishi wa Wananchi wa Jimbo lile.Katika viunga vya Shy town Jina Masele hawataki hata kulisikia na upepo mwanana umemwelekea bwana mdogo.

Juzi alifanya ziara na kutambulishwa rasmi kwa Wazee kuwa Yeye ndiye chaguo la....

Hongera Katambi!
 
Kwa inavyoelekea Masele hana chake tena pale!

Dogo kwa nguvu za Wakubwa anaelekea kuwa Mwakilishi wa Wananchi wa Jimbo lile.Katika viunga vya Shy town Jina Masele hawataki hata kulisikia na upepo mwanana umemwelekea bwana mdogo.

Juzi alifanya ziara na kutambulishwa rasmi kwa Wazee kuwa Yeye ndiye chaguo la....

Hongera Katambi!
Ila na sisi Chadema tumepandikiza mawakala wa kutosha CCM.
 
Kwa inavyoelekea Masele hana chake tena pale!

Dogo kwa nguvu za Wakubwa anaelekea kuwa Mwakilishi wa Wananchi wa Jimbo lile.Katika viunga vya Shy town Jina Masele hawataki hata kulisikia na upepo mwanana umemwelekea bwana mdogo.

Juzi alifanya ziara na kutambulishwa rasmi kwa Wazee kuwa Yeye ndiye chaguo la....

Hongera Katambi!
du...
 
Back
Top Bottom