Kuna kijana nimemuonya mara mbili aache kuhatarisha mahusiano yangu hasikii, nimfanye nini?

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,382
98,851
Habari za MDA huu Wana MMU

Nakumbuka mwaka Juzi Kuna jamaa flan kwa mwonekano Ni barobaro wa mjini, kwa kukadiria Yuko kwenye 23-29yrs hivi Tuliingia kwenye mgogoro mkubwa Sana wa kimahusiano.

ILIKUA HIVI,
Nilimkuta anatext na kumtongoza mwanamke wangu (Mchepuko), afu uyu mwanamke Yuko ktk ile Hali ya nataka sitaki.
Nikachukua namba ake kimya kimya bila kumwambia chochote Mchepuko wangu na kumtaarifu jamaa kua aachane na mtu Wang. Akasema POA kanielewa nimsamehe yeye alkua hajui Kama Yuko Kwny mahusiano tayar. Ikawa imeisha hivo Tumemaliza na Jamaa.

Jamaa Akatulia Kama mwezi Hivi kumbe Bado Akarud akawa Bado anaendelea kumchombeza mwanamke wangu kdg kdg kwa kuchati nae wasap akijieleza jinsi gani anampenda.

Nikaona huu ujinga Sasa, kwanza Kanichukuliaje uyu kijana.
Nikaangalia jina lake Mpesa nikalipata, nikafatilia mpk nikajua anakofanya kazi na kuishi.

Nilichokifanya Nilimfatilia nyuma nyuma akitokea nyumban kwake kwenda ofsini kwake.
Alipofika TU ofsini eneo la parking ndo anashuka Aingie ofsin. Pale pale nikamfata na nikamvunja vunja kioo mbele cha gari yake kusudi tu. Akaanza kuhamaki nini kimetokea. Sikumjibu nikamtupia usoni pesa na kumwambia iyo pesa akanunue na kuweka kioo kingine kipya.

Kisha nikampiga warning kubwa pale pale kua next time nikirudi hapa kwa suala hili hili la kumfatilia mtu wangu mwenye namba inayoishia na kadha wa kadha jua ntakupasua huo ubongo wako Ufutike kabisa duniani.

Basi Jamaa hakujibu kitu, akawa mpole nikaondoka zangu Na baada ya hapo nikafatilia nikajiridhisha kwamba hakuendelea na ule upuuzi upuuzi wake Tena. Hali ya utulivu ikaendelea kuwepo.

Sasa leo nilikwenda ofsini kwake Mwanamke wangu (sio kawaida yangu kabisa) , nikauliza mfanyakz mwenzie ananambia atakua yuko kwa ndani.

Nmeingia ndani, nikakuta mkoba wake na mtandio wake mezani ila yeye mwnyw hayupo. Ikabid nimpgie nikaskia Simu inaita ndani ya mkoba wake.

Akili ikanambia uyu atakua mazngira Aya Aya, ngoja nimsubir. Katika kumsubir pale ikabid niingize mkono Kwny mkoba wake nikague kague Simu yake. Katika gusa gusa nikakuta Simu mbili.
Simu kubwa moja na kisimu kidg Cha tochi Cha kichina (ambacho sikifahamu kabisa)

Ikabd kukikagua maana hakikua na password,
Kuangalia nikakuta Kuna sms za namba ngeni ya TIGO tangu tar.14february saa 4 asubuh. Kuna jamaa wanachat mambo ya hovyo hovyo na inaonyesha jamaa alkua anampango wa kumtoa out Mchepuko wangu siku hiyo ya valentine. Pia nikakuta za tar 15 asbh jamaa akilalamika kutotimizwa kwa promise yake ya Jana ake. Sms zilikua nyingi mpk za Leo hii asbh wakizungumza mambo ya hovyo tu.

Yaani kwa kifupi ni jamaa anautumia udhaifu wa mwanamke wangu kuitaka ndoa, watoto na kua na familia ili kumrubuni atembee nae.
Na mwanamke Yuko Kwny ile NATAKA Sitaki.

Nilichokifanya ni nikichukua TU namba ya uyo jamaa na kuisevu kwny Simu yangu, Baadhi ya sms nikaziforwad kwny Simu yangu Kisha nikafuta ile sent items Simu ikabaki Kama nilivoikuta. Kisha nikarudishia vitu vyake Kama vilivyo na nikaondoka zangu. Mwenzie nje Nikamuaga kua akija mwambie kwamba nilipitia kumsalimia TU. Akasema sawa


Sasa MDA SI mrefu nmetulia natafakari Mambo mawili matatu khs hizo sms, ikabidi niingize iyo namba ake tigo pesa nione jina la uyo anayetuma hizo sms. Kuangalia kumbe bado jina limetoka la uyo uyo jamaa nilokua namsimulia hapo juu.

Hii kitu imeniacha na maswali kadhaa kichwani mwangu,
1.Hivi uyu jamaa kwanini anazidi kumng'ang'ania uyu mwanamke wkt tayar keshaonywa kiustaraarabu zaidi ya Mara mbili hataki kuskia.

2. Hivi uyu kijana anajiamini Nini mpk kaona abadilishe na namba ya simu, na huenda ata icho kitochi kamnunua uyu mwanamke ili waendeleze kuchat upuuz wao humo nisijue.

Nnachofikiria kwa sasa,
Sina haja ya kudeal mwanamke wangu maana sifikirii Kuachana nae kwa namna yoyote ile hivi sasa.

Nafikiria kushughulika nae uyu uyu kijana kiume zaidi tena kimya kimya nimtie adabu bila kumhusisha mwanamke wangu kwa chochote kile.

Kwamba
1. Nimkabidhi kwa vijana wangu wa kazi, wampeleke shamban KWANGU kidg nje ya mji kwa siku mbili afinywe kidg sehemu muhimu ili atie akili asiendeleze hizi dharau zake KWANGU. Afu wamuachie aende zake

2. Nimharibie uko ofisini kwake alikoajiliwa anakojipatia miambili miambili zinazomtia ujeuri, umwamba kutunisha kifua na kushawishi wanawake za watu.

3. Nimharibie kwny gari yake iyo awe wa kwenda gereji kila siku, mwishowe arudi kwenye daladala maana naskia Ni gar ya mkopo uko ofsini kwao wanapewa (Huenda inaongeza USHAWISHI kwa mwanamke wangu) . Maana mpk sahv najua Hadi anakoilaza usiku akienda kwake.

4. Nimharibie saiti yake maana naskia Kuna sehemu anaendesha ujenzi uko mabonde kuinama na Yuko Kwny finishing stage. Nafikiria kuwatuma vijana wasojulikana usiku wakaibadili ile nyumba iwe kifusi.

Mawazo Ni mengi kichwani mwangu mpaka sasa

Nishaurini Kipi nifanye na kipi niache kwa uyu jamaa.
Pia kama Kuna USHAUR wa ziada unaofaa Niko tayar kuupokea kwa mikono miwili.

Natanguliza shukran
 
Vijana tunaangamia kwa kukosa maarifa, bro mwanamke wako ndio hana akili. Full stop
Piga chini manzi yako kwa kuwa hajielewi.
Mfanyie surprise mwanamke wako muite sehemu hakikisha upo na huyo jamaa yake
Kisha wakutanishe
Mwambie mwanamke achague mmoja mbele yenu hapo.
 
Aliyekudanganya kuwa mchepuko ni mali ya Me mmoja ni nani?

Yani pepo mahaba akishapata chimbo anawapotezea mida sana watu

USHUHUDA:

Mwaka wa 4 huu sijui nini maana ya mchepuko, na nimesevu uchumi mkubwa pia nimeepukana na mikosi isiyo na ulazima.

YESU NDIYE BWANA.
 
Vijana tunaangamia kwa kukosa maarifa, bro mwanamke wako ndio hana akili. Full stop
Piga chini manzi yako kwa kuwa hajielewi.
Mfanyie surprise mwanamke wako muite sehemu hakikisha upo na huyo jamaa yake
Kisha wakutanishe
Mwambie mwanamke achague mmoja mbele yenu hapo.
Utakua ujasoma vizur Uzi wangu.

Huo USHAUR wa Kuachana na mwanamke wangu nishasema siutaki, na hata ukinipa sitoutekeleza. Maana Sina mpango wa Kuachana nae leo Wala kesho.

Nipeni wa huyu jamaa tu
 
Fungua kanisa
Nawaonea sana huruma wanaohangaika na hizi Ke ambazo hazina mantiki yoyote ile.

Ikiwa Nabii Suleiman alikuwa na Ke 700, na Masuria(Vimwana) 300 lakini hakuridhika chochote zaidi ya kuhitimisha kuwa yote ni sawa na ubatili mtupu bila Mungu, ndipo wewe Ngumbalu ujitutumue na Ke 50 au 200 ambapo hata nusu ya Ke alizokuwa anazisasambua Nabii Suleiman huzifikii ?
 
Aliyekudanganya kuwa mchepuko ni mali ya Me mmoja ni nani?

Yani pepo mahaba akishapata chimbo anawapotezea mida sana watu

USHUHUDA:

Mwaka wa 4 huu sijui nini maana ya mchepuko, na nimesevu uchumi mkubwa pia nimeepukana na mikosi isiyo na ulazima.

YESU NDIYE BWANA.
Sijaona chochote ulichonishauri hapo
 
Hapa naanza kukuona una upumbavu mwingi. Hizo juhudi zitumie kwa mkeo wa ndoa tu sio hao malaya wengne. Mwanamke mwenyewe ndio yule wa siku mbili akiwa na ela anakuletea kiburi bado unataka kujitaftia aibu kwake?

Mchepuko ni kama mama ntilie usimuone wivu kisa sahani unayoitumia ndio katumia kumwekea chakula mtu mwingne.

Achana nae pambana kulinda familia yako tu
 
Hakuna mapenz kwenye Mali za Watu ambazo wanaume wenzao wamevujia jasho kwa ajili Yao.

Anataka mwanamke mrembo aliyekamilika akamtengeneze mwnyw na sio kuvizia finished product za watu
Hajamlazimisha huyo mwanamke ana Uhuru wa kupenda kwako kafuata pesa ila sorry kwa ukweli huu anayependwa ni huyo jamaa sorry again acha usitake kuingia kwenye jinai nyingine
 
Back
Top Bottom