Kuna kero na ucheleweshwaji wa kurejesha miamala kwa Mawakala wa NMB

rich1

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
1,657
2,000
Jaman kwa wahusika wa ngazi za juu waliopo nmb na umu jamiiforum,

Kuna kero kubwa sana kwa mawakala wakubwa mfano m-pesa wakienda kutoa pesa bank kupitia uwakala yan mara nyingi pesa zina nasa na unaambiwa subiri.

Muda mwingine mnachukua mpaka siku tatu au nne kurudisha transaction.

Cc: Nmb tawi la kiteto.
 
Okwaaa

JF-Expert Member
Dec 3, 2020
1,151
2,000
Jaman kwa wahusika wa ngazi za juu waliopo nmb na umu jamiiforum...kuna kero kubwa sana kwa mawakala wakubwa mfano m-pesa wakienda kutoa pesa bank kupitia uwakala yan mara nyingi pesa zina nasa na unaambiwa subiri...mda mwingine mnachukua mpaka siku tatu au nne kurudisha transaction.
Cc: Nmb tawi la kiteto.
Duu kaka, hii imewahi nikumba, tena ilikuwa n shida ya haraka, nikasema acha nifanye transfer toka bank kwenda kwa mtu aliyehitaji, duuu bank wakaniletea sms muamala umefanikiwa kwenda namba 07555.... nampigia mlengwa anasema hajapata🤪nikadata,

piga cm mpesa wananiambia hawajapokea muamala wowote toka bank kwenda kwa namba 07555..., nikapanic zaid kuhis mpesa waiz, wakanishauri niwasiliane na bank husika bc wazo la kwanza n kwenye kad yangu ndo kuna no za huduma kwa wateja.

Nawapgia wananiambia muamala ulikwama ko niende bank niliyosajiria kadi au popote nipate huduma, bc nikafunga safar bila kupenda, nafika et wananiambia nmefrood akaunt, badae wakasema nijaze form ck mbili zilipita ndo nikarudishiwa hela tena ikiwa pungufu.

Saiz transfer ya hela bank to mpesa au mpesa to bank, sishauri hata kidg lbd kwel uwe una shida alafu upo mbal na ATM
 
mkumbwa junior

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
451
1,000
Jaman kwa wahusika wa ngazi za juu waliopo nmb na umu jamiiforum...kuna kero kubwa sana kwa mawakala wakubwa mfano m-pesa wakienda kutoa pesa bank kupitia uwakala yan mara nyingi pesa zina nasa na unaambiwa subiri...mda mwingine mnachukua mpaka siku tatu au nne kurudisha transaction.
Cc: Nmb tawi la kiteto.
Kwa ufupi NMB shuhuli ya Mpesa hawaiwezi ni tofauti na CRDB,AZANIA,AKIBA ,,

NMB kila ukifika wanakwambia mtandao hakuna kuna siku walikaa na hela yangu siku nne ndo ikarudi nilimuuliza hadi meneja wa lile tawi kwanini wasiwe kama Bank zingine ambapo kitengo cha Mpesa,TigoPesa,Halopesa unakuta TELLER ana simu kabisa na ina laini anafanya muamala kama kawaida,,,hawakuwa na jibu la kuelewekaa....

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
mkumbwa junior

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
451
1,000
Jaman kwa wahusika wa ngazi za juu waliopo nmb na umu jamiiforum...kuna kero kubwa sana kwa mawakala wakubwa mfano m-pesa wakienda kutoa pesa bank kupitia uwakala yan mara nyingi pesa zina nasa na unaambiwa subiri...mda mwingine mnachukua mpaka siku tatu au nne kurudisha transaction.
Cc: Nmb tawi la kiteto.
Kama ni wakala tumia tawi lingine tu,,hilo tatizo ni Nchi nzimaa,,alafu maswala ya Mpesa wameanza mwaka juzi alafu wamekuja na njia za kikuda

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom