Tetesi: Kuna jipu la kulitumbua Temeke

KICHINJIO 15

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
823
628
Manispaa ya Temeke haijamalizia kuwalipa walimu hela za usimamizi wa mitihani ya kidato cha nne iliyofanyika kuanzia tarehe 2 - 25 November, 2015. Walimu hao walilipwa hela siku 6 tu wiki ya mwanzo ya usimamizi.

Hadi sasa hakuna maelezo ya kueleweka ya kucheleweshwa kwa malipo hayo.

Mamlaka husika fuatilien tetesi hizi na hatua zichukuliwe kwa wahusika ikithibitika kuwa ni kweli walimu hawajalipwa, bila sababu za msingi.

Chanzo: Mimi mwenyewe

Naomba kuwaslisha
 
Kwa bahati mbaya serikali yako INA majipu kila pahali, Na mengine haina uwezo wa kuyatumbua, lkn kwakuwa hicho ni kaupele kataminywa tu,
 
Back
Top Bottom