Kuna jambo litatokea ndani ya muda mfupi ujao!!!

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Wana bodi kama ilivyo kawaida yangu kufanya udakuzi wa hali ya juu na kutabiri yajayo kuna mambo matatu yatatokea within next 3-12 month ndani ya selikali ya Rais Magufuli!!

1: Kuondolewa kwa mtu maarufu hapa town na kuhamishiwa kwingine!!!

2: Rais kupewa uenyekiti wa CCM na kuwaambia waziwazi wanafiki wajiondoe ndani ya CCM!!

3: Kuanza kujitokeza kwa wabunge wengine wa upinzani wanaomsapoti Rais waziwazi kama alivyofanya Joshua Nasari na Peter Musigwa!!

Rais yupo makini sana kwenye swala la utendaji kama aliweza kumtumbua waziwazi bwana Kitwanga ije iwe kwa hawa vidagaa?

Time will tell!!!
 
Back
Top Bottom