Ichwampaka
Senior Member
- Nov 19, 2018
- 134
- 109
Mambo mengi yametajwa kuhusu mafanikio ya Mhe. Samia Suluhu Hassan katika miaka hii miwili, lakini kuna jambo kubwa sana ambalo bila kulisema hayo mengine yote ni bure na hayana maana. Ni kuhusu kujenga FAMILIA.
1. Rais ameunganisha familia- Watu wengi walikuwa magerezani, mahabusu, 'wakimbizi', wengine walienda
kujificha vijijini ndani huko lakini wote (99%) wamerudi na kuungana na familia zao
2. Wazazi wengi walishindwa kulipa karo za shule za watoto, watoto waliwachukia wazazi- sasa ni furaha tupu ada zimeondolewa kwa kiasi kikubwa sana.
3. Tangu ameingia idadi ya talaka kwa taarifa zisizo rasmi inaweza kuwa imeshuka kwa 30%
4. Idadi ya wanaofunga ndoa nadhani imeongezeka kwa 16%
5. Mashauri ya ndoa kwenye mabaraza ya kata yamepungua mno
6. Idadi ya watu ambao wanacheka na kufurahi imeongezeka sana
7. % ya wanandoa waliokuwa wananuniana nayo imeshuka kwa kiasi kikubwa sana
Nitaendelea