Shaloom.

Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa.

Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze "wachumba" wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa.
Your not a man, you have no right to speak on men' decisions or opinion and choices, viceversa if your not a woman.
 
Shaloom.

Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa.

Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze "wachumba" wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa.

Miaka ikaenda,umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo wake.Aliendelea kuitunza bikra yake na kuishi maisha ya heshima kama
ambvyo binti yeyote mwenye maadili anapaswa kuishi.

Walokole tuna kamsemo ketu kuwa wakati wa Mungu ndio wakati sahihi na kweli "wakati wa Mungu ulipofika" bibie akaposwa na kijana aishie huko Marekani.
Yaani mechi haijaanza timu pinzani inaongoza 1-0

It's not fair bagoshaaa ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Thanks.
Kwa kuonhelea kitu ambacho hupendi kuongelea.
I appreciate that alot.

Uko sawa kwa uliyoyaandika ila ubaya kabebeshwa zaidi mwanamke.
Kila kitu duniani kuna jinsia moja anakibeba kuliko kingine hamna jipya. Sawa na ukiwa na umasikini, atabebeshwa zaidi mwanaume kuliko mwanamke lakini ujue tumepata elimu sawa na chances sawa za kutafuta kipato na maisha, ila kwasababu mwanaume ndio provider na ndiyo thamani yake hiyo lawama haiepukiki vivyohivyo mke ni nurturer, her purity na kujitunza kwake ndio thamani yake. Hata upigane mara 100 hutaweza badilisha, jifunze kuishi nayo maana hata wanaume wamebeba lawama zao. Dunia uwanja wa vita!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mechi haijaanza timu pinzani inaongoza 1-0

It's not fair bagoshaaa ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
Tushazoea.
Ndo uanamke huo.
Kubeba machungu yote ya hii dunia.
Yawezekana unaongea hivi ila una vitoto hata 6 vinalelewa na singo maza tofauti tofauti
 
Uko sawa kwa uliyoyaandika ila ubaya kabebeshwa zaidi mwanamke.
Nikiendelea kuongelea ili jambo, nitajikuta naweka wazi kitu ambacho mpaka leo sijaamuaga kukiongelea.

Labda nikufafanulie jambo moja, lawama wanazotoa single mothers, nyingi zinabase kwa wanaume waliozaa nao (their present and past life). Lakini zinazotolewa na wanaume, ni pale wanapokuwa kwenye mahusiano na single mothers (their present n future life).

So ni mwenye present & past VS mwenye present &future. Sijui kama umenielewa.

Hii mada ni too deep kuliko unavyoiona.

Ngoja niishie hapa ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.
 
Kila kitu duniani kuna jinsia moja anakibeba kuliko kingine hamna jipya. Sawa na ukiwa na umasikini, atabebeshwa zaidi mwanaume kuliko mwanamke lakini ujue tumepata elimu sawa na chances sawa za kutafuta kipato na maisha, ila kwasababu mwanaume ndio provider na ndiyo thamani yake hiyo lawama haiepukiki vivyohivyo mke ni nurturer, her purity na kujitunza kwake ndio thamani yake. Hata upigane mara 100 hutaweza badilisha, jifunze kuishi nayo maana hata wanaume wamebeba lawama zao. Dunia uwanja wa vita!

Sent using Jamii Forums mobile app
Iam not a single mother(yet).
Ila hata ikitokea nimekua hakuna mtu atasema neno la kunishusha thamani sbb ya usingo maza nikaliamini.
Wapo watu wameoa singo maza na wanaishi kwa amani kuliko waliooa waliotupa watoto chooni
 
Usiwe single mama please think again....
Bare in mind single mother tutawaoa (kikao Cha wanaume maazimio ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š)
Tutawaoa ikiwa tu mumeo akifariki au ex_wako akifariki Dunia....
Otherwise ni kulima shamba la miwa jiran na shuleโ˜บ๏ธโ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Nikiendelea kuongelea ili jambo, nitajikuta naweka wazi kitu ambacho mpaka leo sijaamuaga kukiongelea.

Labda nikufafanulie jambo moja, lawama wanazotoa single mothers, nyingi zinabase kwa wanaume waliozaa nao (their present and past life). Lakini zinazotolewa na wanaume, ni pale wanapokuwa kwenye mahusiano na single mothers (their present n future life).

So ni mwenye present & past VS mwenye present &future. Sijui kama umenielewa.

Hii mada ni too deep kuliko unavyoiona.

Ngoja niishie hapa ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.
Nimekuelewa.
Im not talking about past issues mkuu.
Im talking about what is going on in our society.
Naongelea present tena present continuous issue.

Mimi naongelea single maza wote kuonekana hawafai.

Naomba unijibu mkuu.
Wewe unaamini kabisa na moyo na akili zako kuwa hakuna single maza hata mmoja anayeweza kuwa mke mwema?
 
Mbona makasiriko ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿค“๐Ÿค“
Tofautisha makasiriko na uchungu mkuu.
Ni rahisi kwako kucheka ila maumivu ya mwanamke aliyetelekezwa ahangaike peke yake na mtoto huku dunia ikimuona mlaaniwa huwezi kuyaelewa.
Mshukuru Mungu amekuumba mwanaume.
Naamaanisha nilichoandika na ninatamani muache kuwanyanyapaa hawa watu.
 
Nimekuelewa.
Im not talking about past issues mkuu.
Im talking about what is going on in our society.
Naongelea present tena present continuous issue.

Mimi naongelea single maza wote kuonekana hawafai.

Naomba unijibu mkuu.
Wewe unaamini kabisa na moyo na akili zako kuwa hakuna single maza hata mmoja anayeweza kuwa mke mwema?
Ambae ni mjane hapo sawa...
Wengine ni pasua vichwa unadhani ni sabb Gani hawaku excel kwenye mausiano ya kwanza.....

Lisemwalo lipo..kua uyaone....Hii mechi haiitaji hasira...
 
Usiwe single mama please think again....
Bare in mind single mother tutawaoa (kikao Cha wanaume maazimio ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š)
Tutawaoa ikiwa tu mumeo akifariki au ex_wako akifariki Dunia....
Otherwise ni kulima shamba la miwa jiran na shuleโ˜บ๏ธโ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
Hakuna kinga ya kutokua single maza mkuu kwa hiyo siwez kukwambia sawa sitakua single maza labda niache kupenda wanaume na niwe mtawa kanisani.
Kuwa single maza sio ujinga na kuzalia ndoani sio ujanja ni fate tu.
 
Similar Discussions

36 Reactions
Reply
Back
Top Bottom