Kuna jambo jipya nimejifunza kuhusu Watanzania

Elice Elly

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
1,268
1,593
Niwe tu mkweli,Mara baada ya tetemeko la Kagera mpaka juzi Mimi nilijiaminisha kuwa Watanzania hawawezi tena kuchangia tukio lolote la kijamii,mawazo yalitokana na watu wengi kukatishwa tamaa kutokana na hela zile kutopelekwa kwa walengwa.

Ni mazoea ya Watanzania kuchangiana wakati wa matatizo,hata wakati wa vita ya Tanzania na Uganda wananchi walichanga wengine Mifugo, chakula na hata fedha.

Michango inayoendelea sasa ya kuwatoa gerezani viongozi wa Chadema imedhihirish kuwa Watanzania bado ni wamoja ila tatizo ni watawala wanataka kutufundisha tabia ambazo siyo asili ya Watanzania.

Michango inayoendelea imechangwa na Watanzania wa vyama vyote,lakini watawala wana Tabia za kuwakemea wanachama wa chama chao wapoenda gerezani au hospitali kuwatembelea wanchama wa vyama vingine.

Leo nimejifunza watawala ndiyo tatizo wanashindwa kujenga umoja wa kitaifa kwaajili ya ubinafsi.UKWELI UTATUWEKA HURU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mtu anatenganisha watu chunguza asili yake, hata katika ukoo wapo ukimuona anatabia tofauti na wengine ataulizwa mama huyu kamtoa wapi?
Niwe tu mkweli,Mara baada ya tetemeko la Kagera mpaka juzi Mimi nilijiaminisha kuwa Watanzania hawawezi tena kuchangia tukio lolote la kijamii,mawazo yalitokana na watu wengi kukatishwa tamaa kutokana na hela zile kutopelekwa kwa walengwa.

Ni mazoea ya Watanzania kuchangiana wakati wa matatizo,hata wakati wa vita ya Tanzania na Uganda wananchi walichanga wengine Mifugo, chakula na hata fedha.

Michango inayoendelea sasa ya kuwatoa gerezani viongozi wa Chadema imedhihirish kuwa Watanzania bado ni wamoja ila tatizo ni watawala wanataka kutufundisha tabia ambazo siyo asili ya Watanzania.

Michango inayoendelea imechangwa na Watanzania wa vyama vyote,lakini watawala wana Tabia za kuwakemea wanachama wa chama chao wapoenda gerezani au hospitali kuwatembelea wanchama wa vyama vingine.

Leo nimejifunza watawala ndiyo tatizo wanashindwa kujenga umoja wa kitaifa kwaajili ya ubinafsi.UKWELI UTATUWEKA HURU.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Michango inayoendelea sasa ya kuwatoa gerezani viongozi wa Chadema imedhihirish kuwa Watanzania bado ni wamoja ila tatizo ni watawala wanataka kutufundisha tabia ambazo siyo asili ya Watanzania.

Jr
 
Ccm wamepata wapi 30M za kumtoa Mashinji? Ni swali la kujiuliza. Chadema wamechanga ccm wamekwapua wapi?
 
Back
Top Bottom