Kuna jamaa ananishawishi nijiunge na Forever living.

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
757
1,020
habarini wanajamvi!
Jamaa yangu mmoja ananiambia utajiri ni nje nje nikijiunga na hili shirika, kama kuna mtu mwenye uzoefu na hawa jamaa naomba anielimishe kabla sijaingia king! karibuni..
 
habarini wanajamvi!
Jamaa yangu mmoja ananiambia utajiri ni nje nje nikijiunga na hili shirika, kama kuna mtu mwenye uzoefu na hawa jamaa naomba anielimishe kabla sijaingia king! karibuni..
Yeye ametajirika tayari?
 
Kimbia kabisa, ni bora mkosane na huyo mtu kwa kukataa kujiunga kuliko mje kukosana badae kwa kumlaumu kukushawishi kujiunga na kupotezea pesa zako huko
 
Katika watu wasiokata tamaa ni hao wa forever living,mi mwaka wa sita sasa kuna mtu ananishawishi tu nijiunge mi namba yake nimefuta ila anakaa siku ananitumia msg "vipi ile video uliangalia,vipi umeielewa,una swali lolote"
 
Back
Top Bottom