Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

Mbona sio mapema๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Nikilala zaidi ya hapa si utaamka na njaa ukose hata breafast jamani! Au unatafuta kisingizio cha kwenda kunywa supu bar๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Unajua we fala sana. Mecheka kama mwehu ujue... dah

Safari ya Makuti bar imekufa rasmi....
 
Kucheat siyo poa ila na kwenda kusema siyo poa considering wana miaka 4 na kwamba bro hata hajahisi?

Muombe connection bro upate kazi uhame hapo.
 
Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.

Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.

Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?

Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Wewe ni mwanaume hayo mambo yaache.... Acha ale yeyote... Hawa wanawake ni vichaa Duniani... Unamzuia asiliwe ukiwepo chaajabu hata ukiwa haupo siku moja masaa ataliwa tu....

Mwache atumbukize mjegeje, ukitaka na wewe kautumbukize wa kwako humo.... Hawa wanawake wa kizazi hiki wanaume tusijichanganye akiliwa hata ukimuona muache akija tumbukiza mjegeje kisha tupa pembeni....

Shwain
 
Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.

Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.

Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?

Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Mnywee pombe braza wako kisha mchane๐Ÿ˜… kama umri unaruhusu lakini! Mueleze tu ukweli hata kama atamaindi ila ushamwambia kuliko kuendelea kuteseka.
 
Mfuate jamaa mwambie nimejua unamla shemeji yangu. Baadae mfuate shemela mwambie ninajua unaliwa na fulani.

Wakiendelea basi jua blaza hana mke... unamwambia live aachane na huyo malaya
Awe makini akimwambia shem wake kuwa analiwa awe imara maana shem atataka kymziba mdomo kwa kumtega ili aliwe kuzima kelele
 
Mi naamini Bro kashahisi au kashakuta na kusamehe. Huyu jamaa ili asigombane na watu apambanie connection apate kazi aondoke
Amini usiamini atakuwa hajastuka. Hakuna mwanaume anayejua mke wake analiwa na mtu akakaa asifanye kitu.

Kuna jamaa yetu mkewe alikuwa analiwa kila mtu anajua. Tukahisi na jamaa anajua. Siku moja kimasihara mshkaji akamwambia jamaa "we lakini una moyo, unamwachiaje jamaa anakugegedea kirahisi hivi?" Jamaa akastuka na kutaka kujua. Watu wakampa makavu

Hiyo ndio ilikuwa siku ya mwisho kwa mkewe kulala chini ya paa la nyumba yake na yule mwizi kuishi kwenye ule mtaa
 
Back
Top Bottom